Kigodoro kimegoma tena...
Kigodoro kimegoma tena...
Kama kawaida yenu kuonea vitimu vibovu..... Ila hongereni kwa ushindi
Umeibuka bandugu.Kigodoro kimegoma tena...
[h=1]Diego Costa suspension creates problem for Chelsea that won't go away[/h]Link http://sports.yahoo.com/blogs/soccer-fc-yahoo/diego-costa-banned-three-games-150002594.htmlNdio DD nguli alifanya vzr sn lkn ata huyu Costa atafanya vzr tu tena Zaidi ya hapo. Muacheni jamani Costa afurahie kipaji chake
Link http://sports.yahoo.com/blogs/soccer-fc-yahoo/diego-costa-banned-three-games-150002594.htmlhaters mtachonga saana kuhusu kufungiwa kosta lakini mkae mkijua kwamba ule ushindi wa 2-0 (na pointi 3) hauwezi. elewa ushindi ni ushindi tu hata kama wa goli la mkono. katika mpira kuna mbinu nyingi za kumdhaifisha mpinzani wako ili kumshindi. mwisho wa siku kinacho matter hapa ni ushindi tu. kufungiwa kwa kosta is not such a big deal. tuna kikosi madhubuti kinachoweza kushinda bila kuwepo mchezaji nguli yeyote yule. mmeelewa?
Barca boss Luis Enrique, said: "What decided this game is how well Celta played. It was highly effective football from them. It was very good.haters mtachonga saana kuhusu kufungiwa kosta lakini mkae mkijua kwamba ule ushindi wa 2-0 (na pointi 3) hauwezi. elewa ushindi ni ushindi tu hata kama wa goli la mkono. katika mpira kuna mbinu nyingi za kumdhaifisha mpinzani wako ili kumshindi. mwisho wa siku kinacho matter hapa ni ushindi tu. kufungiwa kwa kosta is not such a big deal. tuna kikosi madhubuti kinachoweza kushinda bila kuwepo mchezaji nguli yeyote yule. mmeelewa?
Hongereni siyo mbaya naona mnalitetea vyema Kombe lenu.
HT Chelsea 2 -1 Walsall
Mkuuu
Nyota njema huonekana asubuhi...
Costa aliwika sana msimu wa kwanza ila baada ya mechi 20 za kwanza hajawahi funga gol nyingi sana.
Na pia kwa msimu huu hafikishi 20 kwenye mashindano yote...
Costa atarudi Atletico msimu ujao, amini hilo... na pia Chelsea ianze tengeneza strikers kununua striker wengi kasoro Drogba tu ndo alifanya vizuri....
Remy ni mzuri sema hapewi nafasi...
Hivi sasa twataka timu ambayo itakuwa na reputation nzuri...
Timu yetu inashambuliwa kwa ubaguzi, kocha kuongea maneno machafu, wachezaji kujidondosha kama ile ya PSG, twacheza kwa kulinda goli....
Pouwaaaaa!!!! Ndo nini jana umenifanya umenigandisha mlangoni pako na juice yangu? Sasa leo zamu yako uje uifuate mwenyeweeeee!!! BTW Hongera sana kwa mafuriko ya Magoli ya jana .......