Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aibu sana kwetu sababu ya Costa....
Yeye ndo kafungiwa afu dogo kaachiwa...
Inabidi timu waangalie reputation ya timu maana itashuka sababu ya watu wajinga kama hawa kina Costa
 
Root unabahati wewe the blues mwenzangu alafu mkorintho mwenzangu. Vinginevyo ungenisababishia Ban wewe.
 
Last edited by a moderator:
Lap lap lap good newsss aaaah moyo wangu unabubujikwa na furaha sanaa.
Wamwongezee ziwe mechi sita jamani wasimbague hivyo

Costa sio soccer player, labda akacheze American football. Inamfaa sana yule dogo. Alafu lile jamaa halina miaka 26 bwana...
 
Aibu sana kwetu sababu ya Costa....
Yeye ndo kafungiwa afu dogo kaachiwa...
Inabidi timu waangalie reputation ya timu maana itashuka sababu ya watu wajinga kama hawa kina Costa

Dogo alipewa kadi ya pili kwa uonevu. Lakini pia adhabu ya kucheza mtu 9 kwa 11 na kupoteza point 3 kwa timu ya dogo ni adhabu tosha. Mimi ningependelea mechi irudiwe ili Chelsea ipate point 3 bila uchakachuaji, mizengwe au kubebwa.

Link Arsenal beat Gabriel's red-card ban by proving defender made NO CONTACT with Diego Costa - Mirror Online
 
Costa sio soccer player, labda akacheze American football. Inamfaa sana yule dogo. Alafu lile jamaa halina miaka 26 bwana...
Costa anatumia muda wake kwa sasa kuangalia Michezo ya rugby inayoendelea ili kujifunza mbinu mpya.
 
Root unabahati wewe the blues mwenzangu alafu mkorintho mwenzangu. Vinginevyo ungenisababishia Ban wewe.

Samahani sana mkuuu...
Ila kiukweli ile kweli kweli sikupendezwa na kilichotokea siku hiyo...
Mbaya zaidi sijapenda kilichotokea hii wiki yaani decision kuwa overturned na sisi ndo twaonekana wabaya..
Mbaya zaidi Daktari kaondoka daaaaah yule mdada alikuwa poa sana
 
Dk alikosea na anapaswa kua mpole tu. Tumeshaliongelea hilo sn. Hebu fikiria km tungefungwa kwa upungufu wa wachezaji siku ni ni nani angelaumiwa? Dk au manager wa timu? Mambo mengine lazima tutafakari kwa kina na si kusukumwa na mapenzi kwa dk. Matokeo ya timu ni muhimu Zaidi kuliko dk Eve.

Tukija ktk swala la Costa. Defenders wengi wanamchezea mchezo mbaya sn Costa kwa maana hiyo imemfanya na yeye acheze mchezo wa kuwauzi.... Km umewahi kucheza mpira nafikiri utakua umenielewa vzr... Costa ni mchezaji mzuri sn. Na ndio maana yuko hapo Darajani km chaguo la kwanza la timu. Unaweza ukajikumbusha ni namna gani Drogba alivyo kua akipata taabu kwa hawa mabeki na mbaya Zaidi walikua wananing'inia mpk mabegani mwake na alikua akienda nao hivyo hivyo kimkanda mkanda... Sasa ndio hichi anachofanya Costa. Mpira si urembo km wa kina Geroud Bwana. Lazima uwe aggressive.

Usijali Mkuu tuko pamoja.
 
Ntuzu
Tukiangalia bado naona Drogba alijitahidi sana... Suarez alikuja mtundu na pale England akapakimbia
 
Haya siyo mapenzi Bali ni Mahaba ..........nasikitika sana.

Cc cute b
 
Bado unatumia maji ya Kilimanjaro tu embu badilisha basi kinywaji chukua kinywaji chochote nakuja kulipa.... Ntuzu ngosha wane kweli unamfananisha Drogba na umafia na hasira za Costa? Come on man are you serious? ???
 
Last edited by a moderator:
Bado unatumia maji ya Kilimanjaro tu embu badilisha basi kinywaji chukua kinywaji chochote nakuja kulipa.... Ntunzu ngosha wane kweli unamfananisha Drogba na umafia na hasira za Costa? Come on man are you serious? ???

Hahahah
Apple juice (home made)
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu
Tukiangalia bado naona Drogba alijitahidi sana... Suarez alikuja mtundu na pale England akapakimbia

Ndio DD nguli alifanya vzr sn lkn ata huyu Costa atafanya vzr tu tena Zaidi ya hapo. Muacheni jamani Costa afurahie kipaji chake
 
Last edited by a moderator:
Haya siyo mapenzi Bali ni Mahaba ..........nasikitika sana.

Cc cute b

Usisikitike my dear everlenk

Mimi naamini hivyo kwasababu falisafa ya mpira na mbinu zake na falisafa ya Chelsea na Mou naifahamu vzr. Kwahiyo nitaendelea kusimamia kile ninacho amini
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom