The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,442
- 104,023
Sasa ndio mtafahamu kuwa mlibebwa. Costa angelipata haki yake (kadi nyekundu) kwa uhuni alimfanyia Koscielny mlikuwa mnatandikwa viboko 3,4, 5.
Mnachonga midomo kiunazi tu, ninyi si katika wale wanaopenda kandanda, mnapenda mieleka na kushinda mechi vyovyote iwavyo.
Itakula kwenu sasa kwa sababu waamuzi watakuwa wanawatupia macho kwa umakini zaidi.
Kwa hiyo unategemea waamuzi ili kuishusha Chelsea? Una uhakika gani kama Costa angepigwa red Chelsea angefungwa hizo goli ulizozitaja? Wenger ni mteja kwa Moureen na atasubiri sana!!
Binafsi nimefurahi Costa kupigwa ban ili tumuweke Remy,nyie wenyewe ndio mtajuta na kuanza kulia lia Oooh! bora hata Costa huyu Remy ni moto!!
Tulieni acheni kufanya Sherehe zisizo na maana,vichapo vipo njiani vinakuja