Hahaaaaaaaaaah
Wenyeji wameona jinsi mbeleko inavyochanika inawezekana wanaumwa leo
Wenyeji duuh washajitokezaa
Hahaaaaaaaaaah
Wenyeji wameona jinsi mbeleko inavyochanika inawezekana wanaumwa leo
26??????? Ana 35 ana hasira maana umri umeenda na hajafanya chochote cha maana zaidi ya ubabee hahahaaa jamaa kama ambrish puri
Hivi hii kigodoro inabadilisha matokeo?
Mkimaliza kuwayawaya mrudi tena baada ya gemu ya man u na Chelsea nimependa mbwembwe zenu
Last season the pride of London point 18 mwanitesa united point 6 tunakimbiza mwiz kimya kimya
Hivi hii kigodoro inabadilisha matokeo?
Hahaaaaa eti amrish puri
Wenyeji duuh washajitokezaa
Kulikoni wavurumisha malugha hayo kwa mambo ya kawaida kabisa?
Meniuzi nanuna......
Easy,easy mkuu Ntuzu. alituaribia game kabisa. Sometimes inabidi tuonyeshe hasira zetu. Sorry kama nimekukwaza.
Poleeeee mpz wangu,tukutane kesho barabara ya 15 nikufariji sweet.....
Sasa ndio mtafahamu kuwa mlibebwa. Costa angelipata haki yake (kadi nyekundu) kwa uhuni alimfanyia Koscielny mlikuwa mnatandikwa viboko 3,4, 5.2 goals 3 points
Hater poleni sana
Makosa ya Marefa hayakuanzia mechi ya jana! Yapo siku zote na yataendelea kuwepo,
Kweli watu wanaihofia CHELSEA
nashangaa kuona fans wa Man u wanataka Arsenal ashinde wakati Arsenal yupo top na Chelsea bottom kwenye msimamo wa ligi..!!
BASI limekata breki sasa tunapitia kila kilicho mbele yetu,Hater mjiandae tu na vidonge vyenu vya kushusha Pressure
KTBFFH
Hehehee utajuajee nimeenda vibanda umizaa..
Mkuu huyo jamaa si unamjua ee
Sasa ndio mtafahamu kuwa mlibebwa. Costa angelipata haki yake (kadi nyekundu) kwa uhuni alimfanyia Koscielny mlikuwa mnatandikwa viboko 3,4, 5.
Mnachonga midomo kiunazi tu, ninyi si katika wale wanaopenda kandanda, mnapenda mieleka na kushinda mechi vyovyote iwavyo.
Itakula kwenu sasa kwa sababu waamuzi watakuwa wanawatupia macho kwa umakini zaidi.
Meniuzi nanuna......
Ntuzu, Mentor