Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahah
Kilimanjaro (MAJI) Baridi yanitosha. Hata siku ile nilikosa kujitetea maana sikuona la kutetea... Costa alikosea kabisa tena kwa Asilimia kubwa sana ila ndio hivyo tena saa zingine twaweka mapenzi mbele kuliko ukweli...
Ngoja utasikia Mo atavyo ongea na bado yeye ale zake kutokana na Eva.....
Heshima itarudi tuuu
Ntuzu umeona maneno hayaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Atasema ameonewa tehe tehe fake punishment
 
Hahahah muone kwanza.....
Ila wewe leo una kitu na sisi maana ushaandika karibia mara 50 kuhusu sisi.....
Siku hizi hatukutank kuleee kwetu...
Ngoja kampeni ziishe maana kwa sasa #team.mabadiliko

Kusema wewe ni timu mabadiliko tu nimekusamehe yoteeee, cute b zima mziki twende zetu tumwache mwanamabadiliko mwenzetu apumzike.....
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1442861816019.jpg
    1442861816019.jpg
    51.9 KB · Views: 51
Mtani Tunasherekea yule mwanamasumbwi maarufu kwenye EPL nzima kala ban ya mechi tatu kwaajili ya lile tendo la kigaidi alilolifanya kwa mchezaji wa Wenger.

FA wamemuonea kweli mechi 3 daaah .... Walitakiwa wampe upendeleo wa mechi 10 kidogo ningeshukuru
 
Hahahah muone kwanza.....
Ila wewe leo una kitu na sisi maana ushaandika karibia mara 50 kuhusu sisi.....
Siku hizi hatukutank kuleee kwetu...
Ngoja kampeni ziishe maana kwa sasa #team.mabadiliko

Weeeee pale ndio nyumbani sema ligi zinaliza mtu unapita kimya kimya hahahaaa kama chelshit fc ndio sababu ya mimi kuishiwa pozi home
 
Kusema wewe ni timu mabadiliko tu nimekusamehe yoteeee, cute b zima mziki twende zetu tumwache mwanamabadiliko mwenzetu apumzike.....

Kwa hisani ya naismith na kwa heshima ya pacha wangu Evelenk nafunga mziki rasmi. Root umekwisha samehewa dhambi zako zote enenda na msiendekeze ubabe tena
 
Last edited by a moderator:
Mtani Tunasherekea yule mwanamasumbwi maarufu kwenye EPL nzima kala ban ya mechi tatu kwaajili ya lile tendo la kigaidi alilolifanya kwa mchezaji wa Wenger.

Unatakiwa uwahurumie tunaoenda kukutana nao wakati Costa ana ban ya game hizo willy anaanza Pedro anasogea mbele Remy na falcao wanasubili we utakuwa unaendelea kutupia hongera humu sawa sawa?(maalim seif)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom