Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

"Naikumbuka sana hii mechi!

Man utd 3 Vs 2 chelsea!

RED CARD: Ivanovic & fernando torress!

referee: Mark clatternburg!

SITAISAHAU!

CC Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Waumiza mioyo tumeanza kuumiza haters , tukifungwa page zinaongezeka kwa kasi tukishinda mbeleko tukubali vijana wametandaza soka kipindi chote cha kwanza ilikuwa lazima washika bunduki wafe tu
 
Attachments

  • 1442692646940.jpg
    1442692646940.jpg
    87.6 KB · Views: 129
kwenye soccer visasi hugharimu kama iccidence ya matic kwenye mechi ya burnley fouk alichezewa yeye na aliporeact alikula umeme mwenyewe kwan uongo na nyie nliitetea saaaaana leo kwa chelsea nongwa kuwen fair
 
We're talking about rules, not history.

What Matic did though was not a serious foul play, was violent conduct against an opponent that deserves outright three match ban.

Hata kama wewe ni mnazi wa Chelsea, sidhani kama utaunga mkono alichofanya because wrong plus wrong doesn't make it right.

kwa burnley ilikuwa hiv
 
Wakaanga sumu wanapokosa la kusema hulopokwa tu
Nilijua utachonga tu leo. Najua furaha imeongezeka baada ya kujua matokeo ya man. City.

Mentor anasema,"back in business"... Kalou ameenda kununua kipaza sauti, tisubiri akirudi atakavyomsifia Ivanovic.
 
Sasa mbona umekuja usiku hivi? Mi leo silali Nakesha Na wakaanga sumu.

Niambie ripota wetu.... Kuna nini mpya? Costa atafungiwa au vipi? Kiboko yenu Mou anasemaje?
 
Sasa mbona umekuja usiku hivi? Mi leo silali Nakesha Na wakaanga sumu.

Niambie ripota wetu.... Kuna nini mpya? Costa atafungiwa au vipi? Kiboko yenu Mou anasemaje?
And Mourinho likened Costa's physical approach and passion to those taking part in the Rugby Union World Cup.
He said: "I will go to a game on Sunday that I consider comparable in terms of dedication and passion - New Zealand against Argentina. I go because I love it and Diego was fantastic - man of the match."

link BBC Sport - Wenger: FA should investigate how Diego Costa escaped red card

Nilikuwa nasubiri ulete uchambuzi wa mechi lakini umeamua utoe dukuduku,maumivu ya mechi zilizopita kwa " wakaanga sumu"?

FA wakiipitia video ya mchezo wa leo na kuona mieleka ya Costa uwezekano ni kuwa atakula ban ya mechi moja hadi 3 hivi.
 
Nilijua utachonga tu leo. Najua furaha imeongezeka baada ya kujua matokeo ya man. City.

Mentor anasema,"back in business"... Kalou ameenda kununua kipaza sauti, tisubiri akirudi atakavyomsifia Ivanovic.

Ivanovic leo ameonekana mzuri kwa sababu ya Zouma.
 
Costa laked sportmanship.
Mike Dean nae hivyohivyo.
Wanatakiwa wafungiwe.
 
2 goals 3 points
Hater poleni sana
Makosa ya Marefa hayakuanzia mechi ya jana! Yapo siku zote na yataendelea kuwepo,

Kweli watu wanaihofia CHELSEA
nashangaa kuona fans wa Man u wanataka Arsenal ashinde wakati Arsenal yupo top na Chelsea bottom kwenye msimamo wa ligi..!!

BASI limekata breki sasa tunapitia kila kilicho mbele yetu,Hater mjiandae tu na vidonge vyenu vya kushusha Pressure

KTBFFH
 
Kumbe refa ndiye aliyefunga zile goli 2 za Chelsea?! Nilikuwa sijui

Pole sana hater kumbe umeumia hivyo!!
Ushindi wa kupewa na mwamuzi unakufanya uite watu haters?

Furahi lakini weka akiba ya maneno.

Unaibuka siku ze bluuz inaposhinda tu?

Mentor alilia wiki iliyopita na " haters", " wakaanga sumu" walimfariji. Ntuzu pia alikuwa kama piriton wiki iliyopita, leo amekuwa kama panadol.
 
Point 3 goli 2 ndio muhimu kwetu, ushindi ni ushindi mkuu,Maradona alifunga goli la mkono na ushindi ulihesabiwa,

Juzi tu hapa Banteke kafunga goli la offside na Dunia nzima imeona!!

CHELSEA ndio imeshakata Breki, wewe toka njiani tu,

huwezi kunipangia maneno ya kuongea!! Nikitumia neno "Haters" ni mimi ndio niliye amua kulitumia...itabidi ukubali tu hata kama linakuchoma!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom