Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Hahhahahahahha loh!!!! Mtani umeua!!!!! Nilidhani mimi msagasumu kumbe wewe balaaa
Teeehe teeehe mtani Costa simpendi sababu muongo muongo mtu gani ana miaka 26 yuko vile mgomvi mgomvi
Hahhahahahahha loh!!!! Mtani umeua!!!!! Nilidhani mimi msagasumu kumbe wewe balaaa
Chelsea 2 arsenal 0
FA wamemuonea kweli mechi 3 daaah .... Walitakiwa wampe upendeleo wa mechi 10 kidogo ningeshukuru
HT
Chel 0- ars 0.
Baada ya half tym
Chel 2-ars2 red card.
Red card moja ilikuwa imebagua hivyo tunatoa
Red card moja ilimpa chelsea goal moja batil na tunaliondoa rasm.
Hivyo matokeo ni haya.
Chel1+1red card= 2
Ars 0+ 2red card= 2
Ngoma droo
9/12 hahahaaaa cc my pacha everlenk
Wallah CUTEb huwa nakuogopa unaposimamia show ya vigodoro
Unatakiwa uwahurumie tunaoenda kukutana nao wakati Costa ana ban ya game hizo willy anaanza Pedro anasogea mbele Remy na falcao wanasubili we utakuwa unaendelea kutupia hongera humu sawa sawa?(maalim seif)
Teeehe teeehe mtani Costa simpendi sababu muongo muongo mtu gani ana miaka 26 yuko vile mgomvi mgomvi
Màaanina zake, mechi 3 hazimtoshi hayawani huyu. Game zote za msimu huu kacheza akiwa na jazba sana. Wangemlima na faini ya maelfu ya £ kenge huyu. Ameshindwa kufunga magoli msimu huu anamkasirikia kila mtu. Pumbavu zake
Hahahhahahhahahahhahahah mumy weeeeeee jibu lake ni 3/4 kama haelewi tutamfanyia na integration na differentiation kabisaaaaaaaa......
Diego Mafujo keshafunguliwa mashtaka FA
Tusubiri adhabu
Safi sanaAdhabu tayari ame be banned mechi tatu.
Reason.....kutumia mabavu uwanjani
Hahahaaaaaa wewe husagi sumu tuu na kulisha watu pia
Hahahaaaa hii show ya leo kuna baikoko pia nashangaa wenyeji wamenunaa.
Kwani kuna mtu kafiwa jamani nyie wenyeji? Acheni hizo.
Unajua ni nini mkuu costa gaidi kauwawa.
Sasa hali shwareeee
Hahahahahaha kaka huwajui tu hawa Chelshitty wana fujo kama Costa wao balaa leo tumeamua kuwashukia na semitrela la full sound music tucheze kigodorooo weee mpka Asubuh.....
Hahahhahaha mweeee hadi screen yangu imekataaa kukuonaa