Dah !!! Pamoja na nyumas geuka hawapo kwenye UEFA hahahhahbaabbah
Mamy nshakwambia hawa hawabebeki atiiiiiiiiii
Kusema ukweli Costa akose tu hata wangemuweka mechi 100 nje hana athari kwetu... kufunga hafungi
Hahhahahhahhahahhahah ustake nikauke na cheko miye hiyo ndo mashine ya Mou wewe unasemaje????????
Kusema ukweli Costa akose tu hata wangemuweka mechi 100 nje hana athari kwetu... kufunga hafungi
Unasemaaaaa?? Hizlo gem tatu ambazo costa hatocheza utaona mtakavyoyaogeaaa
Kamata mwiiz men.
Yaah za mwizi ni 40
Bora tuogeee kama Kocha alishindwa muonya mchezaji wake muda wote hadi afikie huko kocha ndo mwemye matatizo.......
Yule jamaa aio mchezaji kabisa
Najitolea kumlipia costa ada aende shule za mieleka mpira hawezi hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Aiseeee leo unaongea point sana kunywa kinywaji kwa bili yangu, timu zote 2 pia zimepewa adhabu kwa kushindwa kuwacontrol wachezaji wao.
Bora tuogeee kama Kocha alishindwa muonya mchezaji wake muda wote hadi afikie huko kocha ndo mwemye matatizo.......
Yule jamaa aio mchezaji kabisa
Hahahah
Kilimanjaro (MAJI) Baridi yanitosha. Hata siku ile nilikosa kujitetea maana sikuona la kutetea... Costa alikosea kabisa tena kwa Asilimia kubwa sana ila ndio hivyo tena saa zingine twaweka mapenzi mbele kuliko ukweli...
Ngoja utasikia Mo atavyo ongea na bado yeye ale zake kutokana na Eva.....
Heshima itarudi tuuu