everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
3/4.........
Wenger Oyeeeeee........
3/4.........
Kwa mbeleko mlilobebwa kunya tu atazoa Mike Dean.🙊🙊🙊🙊🙊💩
Hahahahaaaa
Furaha yangu imenogeshwa na wagonga nyundo.....
Bado nyie Utd
Ngosha wane utasubiri sana......
Hahahahaaaa mambo yamekua pouwa sasa
Hata mimi leo siwapi hongera kabisa.....lol
Wala hatujakuomba.
Hahahahaaaa
Furaha yangu imenogeshwa na wagonga nyundo.....
Bado nyie Utd
Mnaolalamika Costa kuachwa. Ipo hivi: unaporetaliate baada ya faulo. Unapewa adhabu kubwa zaidi. Costa kala yellow, ambayo ni halali yake. Red kwake ingekuwa too harsh
Back to topic. Nimegundua John Terry ndio weakest link ya team. Mourinho aendelee kumpa bench tu kama tunataka ukuta wetu urudishe heshima.
Mmebebwaaaaa
ndio matatizo yenu mashabiki wa chelsea, ushindi wenyewe wa mbeleko eti saiz mnaitaka utd, sisi sio saiz yako,