Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

#Diego leo kaleta ushindi kwa DECIDING INCIDENT ya RED CARD

Mi nawambia macho MAKAVU kama ataendelea na hii tabia aliyoanza nayo msimu huu ATAKUJA kuwa COST Kadi nyekundu siku ambayo HAMTAAMINI na mtamtukana na kulaumu sana

Kwa jinsi anavyo wavaa mabeki na ku create Controvesy ili wapate KADI na kuwatoa mchezoni

HATA MAMA THERESA anaweza Kupanic

#Costa ni disgrace aisee ni Suarez mpya wa liverpool, siku moja Hero another day Atakuwa VILLAIN

by the way sidhani kama atapata even 15 Epl Goals kwa Ukame alio nao na jinsi mabeki wanavyomkaba

#Hongereni kwa ushindi wa Costa
 
Hongereni kwa ushindi WANAUME WA THE BLUUUUUUUUZ. Root hongera sana nazani kilo zimerudi kalou hongera jaman jana nililala mapema ulivyoniambia nilale hamna kigodoro, Mentor hongera mkuu maana umerudi rasmi kwenye hali yako ya kawaida baada ya ushindi, Ntuzu hongera kwa ushindi baba bila shaka hospital washakuruhusu kutokana na hali yako kuwa nzuri ghafla, ENZO hongera sana kwa ushind najiandaa kisaikolojia maana najua utaanza iponda man u rasmi.
Hongereni woteeee.
We keep the blue flag flyng high because Chelsea will never die.
na jumamosi uje kutoa hongera cute b
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom