Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yaan hii game ya leo ya Chelsea 2- arsenal 2 red card hatariii.
Na ndio maana kipindi cha kwanza wakiwa wametimia hamna goli lililofungwa baada ya kutoka huko HT sijui refa alilishwa maharage ya wapi
 
nimesema Kuwa Leo lazima Chelsea ishinde na imeshinda....the sleeping bear is now awake
 
Kubebwa kuzuri mamito
Umeibuka Ntuzu?

Sasa lete uchambuzi. Ilikuwaje leo Ze bluuz kushinda hii mechi kwa kiwango cha mpira waliocheza? Ukitilia maanani kutolewa kwa mchonga meno, na lile goli la kwanza, off side rule haitumiki katika maamuzi pale? Je Costa alistahili kubaki uwanjani?

Mwamuzi aliharibu ze utamu. Mbeleko itamrjesha Kalou na Mentor na vipaza sauti.

FA imchunguze Mwamuzi na maamuzi yake ya mchezo huu, anavunja na anashusha hadhi ya mechi kubwa kama hizi.
 
Mnaolalamika Costa kuachwa. Ipo hivi: unaporetaliate baada ya faulo. Unapewa adhabu kubwa zaidi. Costa kala yellow, ambayo ni halali yake. Red kwake ingekuwa too harsh

Back to topic. Nimegundua John Terry ndio weakest link ya team. Mourinho aendelee kumpa bench tu kama tunataka ukuta wetu urudishe heshima.
 
Nimeiangalia game zote za Chelsea msimu huu. Game zote Costa kacheza akiwa na jazba, na hii ni kutokana na kukabwa sana. Anataka afunge. Anashangaa anayeongoza kwa magoli anatoka timu za ajabu. Kwa kweli Costa anaasira kama mwathirika.

Pwahahahahaha, Costa anataka Mabadiliko ...
 
*********
 
Attachments

  • 1442672916265.jpg
    1442672916265.jpg
    20.6 KB · Views: 115
Umeibuka Ntuzu?

Sasa lete uchambuzi. Ilikuwaje leo Ze bluuz kushinda hii mechi kwa kiwango cha mpira waliocheza? Ukitilia maanani kutolewa kwa mchonga meno, na lile goli la kwanza, off side rule haitumiki katika maamuzi pale? Je Costa alistahili kubaki uwanjani?

Mwamuzi aliharibu ze utamu. Mbeleko itamrjesha Kalou na Mentor na vipaza sauti.

FA imchunguze Mwamuzi na maamuzi yake ya mchezo huu, anavunja na anashusha hadhi ya mechi kubwa kama hizi.

The business has complited done... We are looking forward to kick anyone who will stay before us!

#KTBFFH
 
Yaan hii game ya leo ya Chelsea 2- arsenal 2 red card hatariii.
Na ndio maana kipindi cha kwanza wakiwa wametimia hamna goli lililofungwa baada ya kutoka huko HT sijui refa alilishwa maharage ya wapi

Uko pande yangu au uko pande ipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom