Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahha sisi ndo mabingwa bana. Will be back for match analysis...ngoja nimailizie kupika shemeji/wifi yenu kanisusia kisa yeye Arsenal.
 
Msimu huu lazima mbebwe, chelsea ni mbovu! Marefa wakiwa fair, top 4 mtaisikia bbc!

Chelsea ingekuwa mbovu tungeona impact yenu ndani ya dakika 44 mlizokuwa mmetimia. Wacheni wivu ya kike.

Hadi dakika 44 ilikuwa hamna shot on target.

Kushinda tungeshinda tu tena hii ya nyie kubaki wachache imefanya kazi yetu iwe ngumu zaidi maana muda wote wote mlikuwa mabeki...!! Mngekuwa wote 11 magoli si chini ya matano tungewafunga nyie.

Leo hadi Costa kajua kupiga chenga!?? Acheni kulalamika...mlikuwa wabovu!!!!
 
Kho kho kho na mimi ngoja niache wivu wa kiume.
mkuu hongereni
 
Leo furaha niliyo nayo Leo nakunya kitandani 😂😂😂😂😂😂

Kwa mbeleko mlilobebwa kunya tu atazoa Mike Dean.🙊🙊🙊🙊🙊💩
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom