Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyo ni referee Dean ni Chelsea damu,sijui kwanini huwa anapewa mechi muhimu achezeshe?kanitoka kama nini na hao bus football club anaowabebaga!
 
Nimeiangalia game zote za Chelsea msimu huu. Game zote Costa kacheza akiwa na jazba, na hii ni kutokana na kukabwa sana. Anataka afunge. Anashangaa anayeongoza kwa magoli anatoka timu za ajabu. Kwa kweli Costa anaasira kama mwathirika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom