leo ze bluuzz ina uwezo wa kushinda. Lakini ingekuwa vyema usema ze bluuzz inacheza na nani? Hiyo timu pinzani ina nafasi gani katika soka ya dunia hii?
Kama unaelewa hali ya umeme ya jiji hili huwezi sema tulikimbia...halafu ni lini wakati wa mechi yetu nilikuwa natoa updates? Mimi huja kabla na baada ya mechi!!!
hapo vipi!
Loftus-cheek
Wewe utamuokota nani?
Huwezi kuokota huku ukiwa umelala ni lazima uwe unatembea,Chelsea 3 points 4 goals hayo maneno ysliyobaki mnajipoza tu na machungu yaliyochanganyika na Wivu....CHELSEA FOREVER
Ntamuokota Mentor..............sawa CleverKING nimekuelewa ........
Ndo nini jana ulichonifanya unaniacha nazurura pale Stanford bridge mwenyewe hata kuniaga.......lol
Nimeipotea avatar....
FUSOoooooooo asante kwa kipande hiyo ya maneno matamu ya happy one..... Thx a lot MkuuChelsea is back in action...
"Without the ball, you could see the team was much more aggressive, much stronger, the lines closer together and a much better reaction when the team lost the ball to try to recover immediately; to try to force the mistake from the opponent rather than wait for the mistake."
Hahahha wine yangu imeisha halafu watu wenyewe wagumu hamtaki hata kununua nyingine........
With only Chelsea winning,This is the worst start to a Champions league season by Premier League clubs........Congratulation Chelsea!!!!
Hujasema atiiii..... Wataka bland ipi? Nikupe katoni sasaivi fastaaaaaa.
Bring back my avatar please........
Hahahaha nilikuambia ukauchuna,sasa kuna mwenzako Mmoja kaipenda sasa nimsikilize nani na ameshailipia kama USD 50M, cute b nisaidieee.....