NtuzuTutamaliza ligi tukiwa mabingwa na wala haiitaji miujiza. Unaweza ukawa bingwa ata km umefungwa michezo 7
Ulikwenda Bagamoyo? Naona umerudi kwa kasi mpya na ari kibao?
Wamekutabiria nini huko?
NtuzuTutamaliza ligi tukiwa mabingwa na wala haiitaji miujiza. Unaweza ukawa bingwa ata km umefungwa michezo 7
Niliumia kwa mengi;
1. Tangu nilipoona kikosi nilijua hatushindi mechi
2. Nilienda kuangalia mechi na shemeji yako.
3. Ili kunisapoti (ingawa yeye ni Arsenal) alivaa jezi yangu ya Chelsea
4. Mbaya zaidi kwa kuwa ilikuwa J'mosi jioni nguo zangu nyingine (zikiweno jezi nyingine za Chelsea) nilikuwa nimezifua hivyo mimi nilivaa kawaida tu
5. Ushawahi kuaibishwa mbele ya demu wako wewe???
Acha bana Nonda acha bana...inauma we acha tu...for the first time nilitoka kama naenda chooni kumbe naenda kujifuta machozi. Watu wote wanamcheka yeye yani...dah! acha tu... RRONDO herrera Belo everlenk cute b acheni kututania bana...ya juzi mi iliniuma! Mbona ya Man city sikuwaomba mnyamaze..hii tu potezeeni iishe!
6. Tulikuwa tumekubaliana weekend ijayo mimi nivae jezi yake ya Arsenal yeye avae yangu. Baada ya game ya juzi eti akakataa...eti hataki kuaibika tena....do you understand what am saying guys!???? tuacheni kwa hili..yani sina raha kabisa yani...!
Halafu unauliza kwa nini niliumia Nonda???!
Despite kinachoendelea ambacho kinawafanya wengi wamuone Mou kama kocha mbaya...mimi bado naamini tukiwa na Mou tunakuwa timu inayotisha zaidi ya tukiwa na kocha mwingine yeyote yule.
Nahisi kutaka trasition from defence-based team to attack-minded team kwa haraka ndo kunapelekea hizi results. Turudi kwanza kwenye defence huku akisuka kikosi (kununua) kwa kuanzia nyuma. Am sure bado tunayo nafasi ya kutetea kikombe chetu.
All in all maneno haya ya Mou yananipa matumaini sana;
![]()
"'I don't want to leave the club in any circumstances,' said the Chelsea manager. 'And the club doesn't want me to leave. I'm not going to walk away. The club is not going to sack me. We have one problem. We are not getting the results we always expect to get. I'm not happy losing matches and I'm happy that I'm not happy. Chelsea fans know it is not in my profile to run from problems.
'When I was here in 2007, I had two things in my mind: go to Spain and go to Italy. Today, I have been in Spain and in Italy and I don't want to go back. I want to stay here. That's enough. That makes a difference."
Naona ktk thread ya timu bora the blues watu hawaishi kupita........nafurahi sn kuona watu wako pamoja na sisi..
Binafsi sishangai sn kwa Timu kupata matokeo km hayo kwao Everton.....
Tangu Mourinho arudi darajani kwa Mara ya pili ameshinda Mara moja tu ktk hicho kiwanja.
Ktk vitu ambavyo havinisumbua kua kuna baadhi ya viwanja wakiiona Chelsea imetua kwao basi wako radhi kucheza na kufia uwanjani kikiwepo na kiwanja cha hawa Everton. Kwahiyo ukiwa unayajua haya wala hayakusumbui.
Ninachofurahi tumepoteza ikiwa ni September... Lkn km tungepoteza ikiwa mwezi wa 4 basi nisingekua na amani....
Msimu uliopita tulikua mabingwa huku tukiwa tumepoteza game 3 hivi km sikosei....na kupata sare nyingi tu na bado tuka mabingwa. Naamini kwamba timu zingine zitapoteza Zaidi ya game 3 na kupata sare nyingi na hii litaanza kwa Arsenal tarehe 19 atapoteza mchezo wake wa pili....
Bado tuna uwezo wa kua mabingwa wa epl na huwezi kuitoa Chelsea ktk mbio za kuwania ubingwa.... Huko kutakua ni kuota mchana kweupe.
Tutamaliza ligi tukiwa mabingwa na wala haiitaji miujiza. Unaweza ukawa bingwa ata km umefungwa michezo 7
Mkuu Ntuzu haya sasa siyo mapenzi bali ni mahaba kwa timu.
Ntuzu
Ulikwenda Bagamoyo? Naona umerudi kwa kasi mpya na ari kibao?
Wamekutabiria nini huko?
Duuu wanavyotia huruma daah.
Ila washazoea maumivu so hata wakifungwa kesho kutwa hawataumia.
Na mimi nasema wapigwe tuu.
Nataka nione ENZO akilia
Ukiona hii Kijana Enzo iambie irudi hapa jukwaani. Hii kijana italia tu msimu huu, kama wakongwe, Ntuzu, Mentor wameonesha njia, kulia inaruhusiwa.
Mi nipo na nitaendelea kuwepo hapa siku zote.....nachoweza kusema ni kwamba naielewa ligi vzr na timu yangu vzr na hali yetu vzr kwahiyo sina presha kabisa ata tufungwe game 10 I know we can make it..... Tunaweza kushinda kwa ball possessions ya asilimia 29 kwa 71 sembuse kuwa bingwa huku tukiwa tumepoteza michezo 3? Mnachekesha.....
Everton wameleta amani jukwaa la Ze bluuzzz.
Enzo ameenda shule na mwalimu alibaini Enzo ana macho mekundu, anatumikia adhabu ya kuvuta "sigara na bange".
Mwalimu alipojua kuwa Enzo ni shabiki wa Ze bluuzz amemfutia adhabu ya viboko.
Kuifunga Gunners ndio itawapatia ubingwa?
Umeziacha timu za Man. city na Man united katika orodha yako kwa timu mtakazozishughulikia kwa bahati mbaya au ndio kukiri kimya kimya kuwa msimu huu Ze bluuzz inaugua kwashiorkor?
Tuna-miss mieleka na rugby ya Chelsea.
Yokohama choma mafuta, ongeza speed. wiki end hii naiona Ze bluuzz ikiwa nafasi ya 18.
Mkuu punguza mbwembwe Chelsea kuna tatizo...msimu huh msipooangalia hamtakuwepo top 4 nyie chekeni tu kizushi EPL time ikipoteza point ovyoovyo km nyie mnavyofanya co rahisi kubeba ndoo sembuse # 4 !!!
Kwa hiyo mtafungwa michezo saba tu?
Na Man City itafungwa michezo nane?
Ndoto ni dunia ingine kabisa.
Ntuzu bwana, msimu uliopita mlipoteza michezo mingapi jumla, mlifungwa magoli mangapi jumla? Mechi tano tu mmepigwa zaidi ya kumi. Kumbuka champions huwa hawafungwi magoli mengi, labda timu ibadilike.Msimu uliopita tulikua mabingwa tukiwa tumepoteza michezo mingapi? Na sare ngapi tulikua tumepata?
Teh teh teh nyie tulieni tu muone kz tarehe 19.
Mkuu Ed n Edd nEddy yani ktk moyo wangu wala sina hofu kabisa kwasababu najua hilo linawezekana na ndio linakwenda kutokea..... Sina hofu kabisa na hali ya timu.....
Hahahahaaa, naona Ntuzu kakichafua leo humu ndani, baada ya maumivu kuisha amekuja na kasi ya Yokohama kwamba watachukua ubingwa na forward wao Costa huku beki akiwa Ivanovic
Ntuzu, Mentor et al Mourinho bado hajafukuzwa tu?