Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Chelsea (4-2-3-1): Begovic; Ivanovic, Zouma, Terry (c), Azpilicueta; Mikel, Matic; Pedro , Fabregas, Hazard; Costa
The moment nilipoona hicho kikosi nilijua tu hii mechi hatushindi. Psychologically ukimpanga Zouma na Mikel kwenye mechi kuna mawili; unawaogopa opponents wako au hiyo mechi mnatafuta draw. Kwa mechi ya juzi sikuona sababu yoyote kati ya hizo mbili.
Kumweka pedro acheze kulia ni pigo kubwa kwa Ivanovic. Ivanovic ataonekana defender mzuri pale tu ambapo Willian ama Raires watacheza wing ya kulia. Kwa sababu wana speed ya kupanda na kushuka kwa hiyo hata pale anapojisahau na kujikuta mbele ni rahisi sana wao kushuka kuja kumsaidia. Kwangu mimi Pedro anafaa kucheza kati, namba 10 nyuma ya striker.
Ningetegemea kwa mechi kama ya juzi (kwa experience ya games tulizocheza na Everton) angwaweka Ramires na Willian wote ndani. Kisha angemrudisha Cahill kati. Zouma ndiyo ana tackles nzuri ila hana akili ya mpira. Mimi bado naamini ile defence iliyoshinda msimu uliopita inafaa kushinda na msimu huu.
kwangu mimi kwa game ya everton angepanga hivi ningejua ushindi tangu mwanzoni: (4-3-3) Begovic; Ivanovic, Cahill, Terry (C), Azpilicueta, Matic, Fabregas, Ramires; Hazard, Willian, Costa. Hakuna namna hicho kikosi kingefungwa na Everton.
Baadaye ndo uje umueke Pedro (sub: Ramires).
Kingine kinachoniumiza moyo ni Remy....kwa nini Mou hamtumii huyu kijana. For a fact, anajituma mno. It is time awe striker number 2 badala ya Falcao!!!
La mwisho nahisi kama kuna shida baada ya Eva Caneiro kuondoshwa kimajungu na Mou. Staff hawaongei na Mou kama zamani na kuna kitu tu unahisi kama mgomo baridi hivi wa wachezaji...sijui, ila ile laana ya Eva inatugharimu!
All in all, we lost...majuto ni mjukuu! Looking forward to Wednesday....
#vivaChelsea #we-will-be-back #stillChampions #ktbffh