Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Je umesha-google na kujionea menyewe kuwa Mou hana ujasiri wa kuifundisha timu kwa miaka 5, 6, 7, 8, 9?
Mou anapita njia tu, miaka 2, 3 anapotea.
Sasa akae ktk timu miaka 10 hiyo timu imekuwa baba yake au Mama yake? Ata Lowassa aliona aachana na ccm chama kilichomlea