duh! yaan kelele zote hizo..mmechukua mbao..je mkibeba uefa c tutahama sayari..katika michezo 7 tuliyokutana ndiyo jana mmeuona mwez...duh!
Mchinje tu maana Hamna namna nyingine zaidi ya kumchinja tu.......
Ntuzu namchinja home and away safari hii
Ye mweeeeeeeeeeeeeeee.................
Imbombo jilipo! Na Malafyale kafufuka?:what:
Misimu miwili ya EPL tangu Jose Baba yangu mwana Wa Mourinho atue darajani na hakuna timu ata moja ktk hizi zinazo jiita top four iliyowahi kumfunga baba ktk EPL!
Wameokota hako ka community shield basi imekua duh!
Malafya yani km wewe LFC utashuka daraja msimu huu!
Hahahahaaaaaa naona Leo mmmmmmh.
Ila gunners wenyewe hawajiamini wametulia kwao kwetu huku wanaogopa coz wanajua wamebahatisha!
Safari hii nakupiga na hata ww unayaogopa Majogoo
Ongezea hii......
Leo raha sana jamani sijui baadae tutalia maana hahahahaaaa
Ndo Chelsea wajue kuwa kufungwa na vitimu vidogo ni hasara.. ona wanavyofurahia kama wameshinda EPL.. Kikombe chenyewe hata si kizuri
mummy cute b kwa heshima na taadhima na kwa mamlaka niliyopewa embu kusanya ulichonacho na tuondoke haraka, ndoa yangu na Ipo mashakani , naachwa mwenzako Mcharo kanuna huyo.....
Dugu, ile ni foul tu au mieleka?Dahhh!!! Siku nyingi sana bro tangu tumekuwa mabingwa sikuona post zako washukuriwe San arsenal Leo wamekuleta maana ile pre season tulipopigwa na redbull hukuja, nachokupendea we huwa unaangalia wachezaji Wa Chelsea wakicheza foul tu. Karibu sn mkuu
Ulimwona Moureen alipendeza katika nyeupe baadae alibadili kuvaa blue baada ya kuambiwa hakupendeza.
Ulimwona Moureen alipendeza katika nyeupe baadae alibadili kuvaa blue baada ya kuambiwa hakupendeza.
Mou alifurahia sana ile mechi ya ya kirafiki ya ngao. Na alifurahia matokeo yake pia.