Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

#KTBFFH ...
Sometimes sielewi lengo la kocha kuchezesha baadhi ya watu..na sub anazofanya.

I still love Chelsea...and the title will still be ours come May.

Kua anataka usajili wa beki pale nyuma ile sub ya Terri ni massege sent kwa chelsiki's owner ko ajipange source sky sport
 
Dalili ya mvua ni mawingu mkuu
Na majogoo wakiweza kumfanya Mou kama Man. City walivyoweza kuuchonga na kuuongeza urefu mdomo wa Mou- "a fake result" itakuwa poa.

Lakini kwa yale majogoo ya Rogers hayaonekani kuweza kumudu Yokohama na mieleka ya "Mabingwa"
 
Ata Simba Mwenda pole........
Simba kwisha habari yake! Amegeuka paka, vatoto inachezea sharubu, paka nyau nyau.

A fake result, a fake result.

Mou amrudishe mamito doctor ili wachezaji warudishe mori.
 
HAHAHAHAHA
ehe ana maana gani akisema results are fake
Mou anamaanisha kuwa Man. City wamemtegeneza vibaya sana, kwenye kila idara.

Mou yuko ndani ya ndoto haamini matayarisho na mikakati aliyopanga na matokeo ya mechi.

Kwa hiyo alipoamka na kufahamu kuwa ni 3-0 hakuweza kuamini na ndio ilimtoka tu, " a fake result"

Kuna mtu alimwambia, Mou "amka"," it is real, the score board reads 3-0"
 
Na majogoo wakiweza kumfanya Mou kama Man. City walivyoweza kuuchonga na kuuongeza urefu mdomo wa Mou- "a fake result" itakuwa poa.

Lakini kwa yale majogoo ya Rogers hayaonekani kuweza kumudu Yokohama na mieleka ya "Mabingwa"

Namchapa home and away,hata Ntuzu anayajua haya mbona
 
Last edited by a moderator:
Jamani waoneeni huruma hawa ndg zetu.
Mnataka kuwawekea vigodoro tena???
Ndugu zetu wanaelewa, wanajua, wanatambua na wanafahamu kuwa haya matokeo ya 3 - 0 ni "a fake result".

Mou ameshapayuka "a fake result" kwa hiyo Ntuzu, Mentor, Kalou wamefurahishwa na haya matokeo. Hawa ni mabingwa na watabakia hivyo. The bluuuzzzz.

Hutaki unaacha!
 
Anadai Chelsea ndio walidominate the game hasa the second half Lakini Dominate game ndio magoli??
Sio anadai, stats zinasema hivyo:
Link Video: Key match stats: Man City v Chelsea - Telegraph

Magoli ni mambo ya kale, sasa hivi ni Yokohama tu na kukimbia kimbia uwanjani, pasi hapa na pale na kujiangusha angusha hovyo!!

Mechi ikiisha unachonga mdomo na kusubiri next game ukiwa na matumaini.
 
Mi shabiki dam wa CHELSEA lakin msimu huu sina imani na timu yangu nimebaki na mikeka tu
 
Wewe kweli afya yako haina mgogoro.

Mou anasema "the results are fake!" Je dugu Ntuzu unaichukuliaje hii kauli ya mpayukaji?

Na pre-season inaisha lini? Chelsea waliichukulia hii mechi kama mechi ya kirafiki?

Au muziki ilikuwa ile muziki muneneee leo?

Kama result fake nakubaliana na mourinho kwa sababu kama yangekuwa original ilitakiwa apigwe hata goli 6-0
 
Ngoja nitoke kwa mkoloni niweke kambi humu naona wakaanga sumu mmejaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom