Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wachezaji wanaonekana wamechoka sana tatizo la Jose kutofanya rotation (Ivanovic,JT, Cesc, Hazard,Azpi) wanahitaji back up,sijaona tofauti ya Rooney na Hazard then Jose anasema Hazard is better than Ronaldo.Begovic kawaokoa sana leo zingekuwa sita
 
Last edited by a moderator:
Nami natoa salamu za rambirambi kwa wazee wa darajani, hiki kimekuwa kichapo kitakatifu bwana Mentor na Ntuzu. Poleni sana...tupo pamoja katika msiba huu mzito.

Pamoja sn Eli79 lkn usiwe Na hofu ndio kwanza jua bado halijachomoza
 
Last edited by a moderator:
Kwa style hii nadhani route za kwenye jukwaa letu zitapungua .... Lakini msivunjike moyo ndiyo kwanza game ya 2

Ktk Jukwaa lenu tangu msimu uliopita hatujapiga root huko kwahiyo ata msimu huu tunawachugulia tu Zaidi Na Zaidi nategemea wana lfc wengi kuja kwetu!
 
Wachezaji wanaonekana wamechoka sana tatizo la Jose kutofanya rotation (Ivanovic,JT, Cesc, Hazard,Azpi) wanahitaji back up,sijaona tofauti ya Rooney na Hazard then Jose anasema Hazard is better than Ronaldo.Begovic kawaokoa sana leo zingekuwa sita

What!!!!!:what: game ya pili tu wachezaji wamechoka?

Mkuu makosa ya uwanjani ndio yamesababisha kupoteza mchezo lkn timu iko vzr sn Zaidi ya unavyoweza kufikiria
 
poleni sana wana blues kama vile maneno yenu mnavyosema hii ndo epl sijui mmepigwa vitatu kubalini ndio mchezo wasoka ulivyo
 
chebi asante sn mkulu

Mambo yako pouwa and soon we will bounce back
 
Last edited by a moderator:
My deepest sympathy to Mr Chelsea Ntuzu

1439748905605.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ktk Jukwaa lenu tangu msimu uliopita hatujapiga root huko kwahiyo ata msimu huu tunawachugulia tu Zaidi Na Zaidi nategemea wana lfc wengi kuja kwetu!

Mara ya mwisho Chelsea kushinda Lowassa alikuwa CCM
 
Asante sn mamito hapa namsubiri Nonda aje

Come close my dear,let me hug you......najua hali yako ni mbaya sana ila unajikaza kiume kuwa hapa....... Take it easy.....
 
Last edited by a moderator:
What!!!!!:what: game ya pili tu wachezaji wamechoka?

Mkuu makosa ya uwanjani ndio yamesababisha kupoteza mchezo lkn timu iko vzr sn Zaidi ya unavyoweza kufikiria

Last game Morinyo kagombana na Eva anasema Hazard alikuwa hajaumia alichoka,
Magoli mengi yanapitia kwa Ivanovic huyu ndio no 2 karibia misimu 5 unategemea kiwango kitakuwa sawa?
Leo mara ya kwanza Jose anamtoa Terry na hajaumia.
Mnahitaji msaidizi wa JT, Msaidizi wa Azpi, Msaidizi wa Ivanovic otherwise kazi mnayo
 
Chelsea wana squad ndogo sana. Hawana wider choice of players per number.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom