Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Miaka minne haina maana mbele ya mrusi
Mrusi kwa Mou hana mbadala
Miaka minne haina maana mbele ya mrusi
Last game Morinyo kagombana na Eva anasema Hazard alikuwa hajaumia alichoka,
Magoli mengi yanapitia kwa Ivanovic huyu ndio no 2 karibia misimu 5 unategemea kiwango kitakuwa sawa?
Leo mara ya kwanza Jose anamtoa Terry na hajaumia.
Mnahitaji msaidizi wa JT, Msaidizi wa Azpi, Msaidizi wa Ivanovic otherwise kazi mnayo
Come close my dear,let me hug you......najua hali yako ni mbaya sana ila unajikaza kiume kuwa hapa....... Take it easy.....
Last game Morinyo kagombana na Eva anasema Hazard alikuwa hajaumia alichoka,
Magoli mengi yanapitia kwa Ivanovic huyu ndio no 2 karibia misimu 5 unategemea kiwango kitakuwa sawa?
Leo mara ya kwanza Jose anamtoa Terry na hajaumia.
Mnahitaji msaidizi wa JT, Msaidizi wa Azpi, Msaidizi wa Ivanovic otherwise kazi mnayo
Jose Morinho amekosa creativity. Same old football.
Football Trolls @Footballltrolls
GeniusFootball @GeniusFootball
Michael Ducy @mfdii
Mwanamke nimeumbwa na moyo wa huruma Leo sitacheza kigodoro Bali nitaomboleza uwiiiiiii hiki si kichapo ni msiba jamani, owiiiiiiiiii poleni sana wandugu tuliwapenda sana mabingwa wetu lakini Man City wamewapenda zaidi,woiiiiiiiiiiiiiiiii pumzikeni kwa amani The bluuz........poleni sana wapenzi wangu Ntuzu kalou ENZO Mentor MEANDU Manumbu b5-click na #AllTheBlues
Last game Morinyo kagombana na Eva anasema Hazard alikuwa hajaumia alichoka,
Magoli mengi yanapitia kwa Ivanovic huyu ndio no 2 karibia misimu 5 unategemea kiwango kitakuwa sawa?
Leo mara ya kwanza Jose anamtoa Terry na hajaumia.
Mnahitaji msaidizi wa JT, Msaidizi wa Azpi, Msaidizi wa Ivanovic otherwise kazi mnayo
Wewe kweli afya yako haina mgogoro.Ata mwaka huu Ni wetu
Asante sn Mkuu
Mimi nimechukizwa na haya matokeo, matokeo "fake"!!nguvu mi nipo Mkuu tena nimefurahishwa sn na haya matokeo
Naona hapa, anaburudika na mvinyo