Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna jamaa mmoja ni bingwa wa kupita majukwaa mbalimbali na kupost vikatuni....sijui ameonekana humu na vikatuni vyake??
 
Wewe kweli afya yako haina mgogoro.

Mou anasema "the results are fake!" Je dugu Ntuzu unaichukuliaje hii kauli ya mpayukaji?

Na pre-season inaisha lini? Chelsea waliichukulia hii mechi kama mechi ya kirafiki?

Au muziki ilikuwa ile muziki muneneee leo?
Anadai Chelsea ndio walidominate the game hasa the second half Lakini Dominate game ndio magoli??
 
#KTBFFH ...
Sometimes sielewi lengo la kocha kuchezesha baadhi ya watu..na sub anazofanya.

I still love Chelsea...and the title will still be ours come May.
 
1. Something is wrong pale backline. We need to really get Stones to partner with Cahill. Zouma hapendezei pale nyuma..ni mbutuaji mno. Atabaki kuwa sub kama Mikel.

2. I would have preferred Oscar to Ramires

3. Costa???? Sijamuelewa bado.

4. How on earth do u sub Ramires with Cuadrado?????? Si heri hata umweke V. Moses??? #mou really???

5. Willian has really improved! #impressive
 
#KTBFFH ...
Sometimes sielewi lengo la kocha kuchezesha baadhi ya watu..na sub anazofanya.

I still love Chelsea...and the title will still be ours come May.

Mkuu hayo unayosema huwa yanaonekana baada ya timu kushindwa kuondoka na ushindi. Mourinho anavyopangaga wachezaji au kufanya subs na kupata ushindi anasifiwa kuwa ni tactical masterclass/genius mfano mechi vs Man Utd alipompanga Zuma kumkaba Fellaini Mourinho alisifiwa sana. Jana kafanya subs ushindi haukupatikana mnamuona hajui. Wenger wanamtukana kila siku anapopanga wachezaji wake.
 
1. Something is wrong pale backline. We need to really get Stones to partner with Cahill. Zouma hapendezei pale nyuma..ni mbutuaji mno. Atabaki kuwa sub kama Mikel.

2. I would have preferred Oscar to Ramires

3. Costa???? Sijamuelewa bado.

4. How on earth do u sub Ramires with Cuadrado?????? Si heri hata umweke V. Moses??? #mou really???

5. Willian has really improved! #impressive

Msimlaumu Coach, yeye always Ana style yake ya kucheza ambayo huwa anapata ushindi wa 1-0 au draw, sasa fans wanalalamika kama hiyo ni boring football.

Alichofanya Jana ni kucheza attacking football, kama mlimuona Matic alikuwa anapanda mbele sana Jana na kuwaacha kina Terry very valuable.

Inawezekana Mourinho alifanya kusudi ili management impe pesa ya kusajili beki mwingine au ameamua kusikiliza mashabiki na kuacha kucheza boring game.

All in all timu bado nzuri Ila Stones anahitajika at any cost aje kusaidiana na Cahill. JT zama zimepita sasa.

Kuhusu Sub
Kwa maoni yangu baada ya zile attempts 5 za Aguero, halftime angemtoa Ramirez angeingia Zouma. Zouma angekaa mbele ya kina Terry kuongeza ulinzi. Halafu wangewategea City Kwenye Counter attack. Kwa sababu mildifield na full backs wa city muda mwingi walikuwa mbele wana press kutafuta magoli, Matic huwa anapiga Long balls vizuri sana.

Haya ni maoni tu as a Football fan. Coach anajua zaidi.
 
Kosa kubwa alilofanya ni kumfukuza Eva.....
Wachezaji wamemmind sana yule mdada wamekaa nae muda sana...
 
#KTBFFH ...
Sometimes sielewi lengo la kocha kuchezesha baadhi ya watu..na sub anazofanya.

I still love Chelsea...and the title will still be ours come May.

mkuu kikosi chenu ni chembamba sana, kwa zile sub hakukua na mtu wa kubadilisha matokeo, ukiachana na Remy wengine wote walikua hawana uwezo wa ku-change matokeo, mi huwa namuelewa Oscar akianza kuliko ramires

saiz mmesajili left back mwingne wakati CB bado tatzo, so far mmesharuhusu goli tano ndani ya mechi mbili, (gud start)
 
City walikuwa vzr Jana, then hatukuwa na plan b au c all in all mou knows than all managers.
 
everlenk RRONDO Belo et al najua mnafurahia mno kwa game ya jana...we will be back!!! Stronger...

Am glad niko bize wakati huu...lasivyo ningeumia sana.

Unafikiri basi mimi nilifurahi mimi ninaomboleza uwiiiiiiiiii jamani uwiiiiiiii huu ni msiba poleni sana the bluuuz....
 
Last edited by a moderator:
Speed aliyoionyesha Ivanovic misimu miwili mitatu iliyopita imeyeyuka kama barafu juani. Anyway ni mechi mbili zimeshachezwa ligi haisomeki mwanzoni, tusibiri baada ya mechi 7 au 10 hivi ndio tuje kusema.

😂 😂 😂-0 hahahaha that Teri sub wazi takitiko sabu 😂 😂 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom