Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wazee wa midomo mingi mupooo...poleni sana!, mpira nao unadunda
 
Mwanamke nimeumbwa na moyo wa huruma Leo sitacheza kigodoro Bali nitaomboleza uwiiiiiii hiki si kichapo ni msiba jamani, owiiiiiiiiii poleni sana wandugu tuliwapenda sana mabingwa wetu lakini Man City wamewapenda zaidi,woiiiiiiiiiiiiiiiii pumzikeni kwa amani The bluuz........poleni sana wapenzi wangu Ntuzu kalou ENZO Mentor MEANDU Manumbu b5-click na #AllTheBlues
 
Last edited by a moderator:
Hataki hata kumuangalia Pelegrini
 

Attachments

  • 1439746692917.jpg
    1439746692917.jpg
    47 KB · Views: 163
Nami natoa salamu za rambirambi kwa wazee wa darajani, hiki kimekuwa kichapo kitakatifu bwana Mentor na Ntuzu. Poleni sana...tupo pamoja katika msiba huu mzito.
 
Last edited by a moderator:
chelsea leo wametuangusha sana huyu costa amekua mtu wa kurukaruka tu na kulalamika kazi yake haionekani ameanza kuwa mzigo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom