Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
Bado goli 3.
Chelsea mbona fasta hivyo..mara hii goli moja):
Mvua zimeanza...🙁 Drogba anatufunga goli la pili.
you must change your name this season!angalieni movement ya mabeki wetu kwenye hio move.beki wawili wanafata mtu mmoja huku clichy anam,uachie drogba anatanua.its going to be a long day.
Mvua zimeanza...🙁 Drogba anatufunga goli la pili.
no way siwezi kubadirisha jina safari yoyote hile huwa ina misuko suko.you must change your name this season!
The man himself - against Arsenal, any day, any time, Drogba huwa anawamaliza hawa watu