Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,912
- 11,323
Mrudisheni Jonjo Shelvey nyumbani
Fundi sana huyu mtu
Mrudisheni Jonjo Shelvey nyumbani
Kama nakuona vile ulivyo vurugwa!
Wewe na ENZO mna panick!
Chelsea kwa sasa ni timu kubwa kuliko Man utd....heri historia ya msimu uliopita kuliko historia ya miaka 47. Na msimu huu mkishika top three tu nitakununulia jezi mpya ya man utd...original yani!!!!!
Hivi ligi imeanza au bado tuko Preseason?.......
Point moja inatutosha sisi chelsea ligi bado haijachanganyia na falcao hayupo kwenye viwango vyake hahahaga
Hivi ligi imeanza au bado tuko Preseason?.......
Bora kupewa Goli na kutoka na point tatu kuliko kupewa Goli na ukapata point moja.......hahahahaha wapi ENZO Mungu mzuri huyu jamani acha tu mmetuponda weeeee tumepewa goli haya nanyi mmepewa wapi sasa point 3? Hahahahhahhahhahahhahahahhah!!!!!!!! Watu weweweeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!