everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Last edited by a moderator:
Kwani huyu nae ni naniii? Hahahaaa
Jozee Jozeee Mourinho The special from Heaven......
Kwani mtafanya kigodoro na leo?
Kwani huyu nae ni naniii? Hahahaaa
Anatukana nini sasa? Kwani haoni wanavyocheza au sheria haimeuhusu na yeye kuingia acheze pia. Mbona Gigs aliingia akacheza wakafunga
Hahahaaa mkuu wew unahisi alikuwa anawaza tusi gan
Mamy wafarijiii wanaweza kunywa sumu atii