Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nawatakia kila la kheri mashabiki pamoja na timu nzima ya " The blues " katika kutetea ubingwa.safari imeanza rasmi.
 
Ni group jipya la Whatsapp, kwa anaependa kuunganishwa tujumuike na kuukuza umoja wa wana Chelsea nitext kwenye 0756 476 907
Ama +255 762 298 197
Ama +255 752 666 753
Watakuunganisha
 
lets waitfor the second half..nipo harusini nafuatiliathrough livescore.
 
Chelsea 2 -Swansea 2

Mjitahidi mmalize game kwa sare vinginevyo Swansea watawafunga.

Dakika inakwenda ni ya 62
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Kitu kimoja nimekiona kwa Chelsea ni kukosa charpness yaani wachezaji hawana uharaka kwenye kufanya mashambulizi.

Cesc Fabregas na Willian wanatakiwa sasa wapunguze cheza nyingi.

Ni iwe one way street wamtupie tu mipira Costa.
 
Kitu kimoja nimekiona kwa Chelsea ni kukosa charpness yaani wachezaji hawana uharaka kwenye kufanya mashambulizi.

Cesc Fabregas na Willina wanatakiwa sasa wapunguze cheza nyingi.

Ni iwe one way street wamtupie tu mipira Costa.
Kama nakuona vile ulivyo vurugwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom