Aaaah, hata simwelewi yaani kama angekuwa mwafrika mwenzetu ningetafsiri yale matusi. Ila kifupi kwa lugha ya mwili jamaa katukana sana sana yaani sana.
Hahahaaa kwelii
Aaaah, hata simwelewi yaani kama angekuwa mwafrika mwenzetu ningetafsiri yale matusi. Ila kifupi kwa lugha ya mwili jamaa katukana sana sana yaani sana.
Mummy natetea ndoa mwenzio au unataka niachweee?.....mweee twende zetu tukale bata somewhere tuachane na jukwaa la watu.....lol
Leo Hamna kigodoro kabisaaaaaaaaaa!!!!!.... cute b waache mabingwa wapumzike....
Hahahaaa kwelii
Kocha wako mwenye rekodi nzuri na hana blah blah kama Mou anaitwaga nani?
I love how players surround the referee after the game like he can change the score.
Hah haha...angalia usiachike
Kutakuwa hakuna namna nyingine,itabidi nikupokee tuHahaha kwani nikiachika nikija kukupigia Magoti wewe hutonipokea?. ......
lets waitfor the second half..nipo harusini nafuatiliathrough livescore.
Fungeni mkanda Yokobus fc point moja si haba.
Naona msimu huu chalsea na liverpool wameukamia