Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe nyau akuna fact yoyote iliyonikimbiza sema mda wa kubishana bishana kama sina chakufanya uwa sina , mwanzoni alizungumzia miaka 15 alafu akashuka mpaka 10, alafu izo fact za kusema chelsea amekuwa timu bora kwa england ziko wapi.?? Kuchukua FA CUP na Europe league, Man United kacheza final 3 za Champions katika iyo miaka, semi final 4, Epl 5 ivyo tu vinatosha kusema nani ni mwanaume wa ENGLAND katika iyo miaka tena mngefanya miaka 20 kabisa na sio kuwa bingwa wa FA CUP na Europe league, alafu kuhusu bundle la chuo ni kuwa nimeacha kutumia line ya tigo toka 2010, siku Voda au Airtel wakianzisha izo huduma nao utaniambia niwe naenda kujiunga .. Ni**a

sikiliza wewe mbwa!' ukiwa huna mda wa kubishana ni bora ukaa kimya usiwe unaandika upuuzi,mpira sio mchezo wa kitandani useme una bahati! ............ hayo makombe ya FA na Europa unayoyadharau kwenye misimu hii mitatu umechukua mangap?! Acha uboya wewe manure zamani sahivi ni wakat wa wengine, kwa sahiv huwezi kujilinganisha hata na Arsenal!' kwa sasa hivi plz hatuongelei historia.
 
Naona povu limekutoka kwelikweli kama chelsea timu ya baba yako, sikiliza chelsea ajawahi kuwa bora zaidi ya United na atakaa awe milele kwa kila kitu , unaikataa historia au umesahau kama ata iyo Epl aliyochukua last season imeshakuwa historia ndorobo we..alafu karibu kutazama show ya kikubwa pale OT 😝😝😛
 
Wewe na ENZO mna panick!

Chelsea kwa sasa ni timu kubwa kuliko Man utd....heri historia ya msimu uliopita kuliko historia ya miaka 47. Na msimu huu mkishika top three tu nitakununulia jezi mpya ya man utd...original yani!!!!!
 
Last edited by a moderator:

☺☺☺ historia ya miaka 47 tena,
 
Last edited by a moderator:
Wewe na ENZO mna panick!

Chelsea kwa sasa ni timu kubwa kuliko Man utd....heri historia ya msimu uliopita kuliko historia ya miaka 47. Na msimu huu mkishika top three tu nitakununulia jezi mpya ya man utd...original yani!!!!!

League inaanza masaa machache yajayo, Kama Chelsea akitetea Epl nitakuwa shabiki mpya wa Chelsea kuanzia siku iyo,
 
Last edited by a moderator:
Wewe na ENZO mna panick!

Chelsea kwa sasa ni timu kubwa kuliko Man utd....heri historia ya msimu uliopita kuliko historia ya miaka 47.Na msimu huu mkishika top three tu nitakununulia jezi mpya ya man utd...original yani!!!!!

Nimeiingiza kwenye Hansard........

ENZO na one cater mrelax......mpira siyo vita ni urafiki,amani,upendo,furaha na undugu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe na ENZO mna panick!

Chelsea kwa sasa ni timu kubwa kuliko Man utd....heri historia ya msimu uliopita kuliko historia ya miaka 47. Na msimu huu mkishika top three tu nitakununulia jezi mpya ya man utd...original yani!!!!!

Timu kubwa?? Ukiniambia ni bora nitakuelewa kwa shingo upande, lakini kwamba ni kubwa kuliko MUFC hapo jipange kaka.
 
Last edited by a moderator:
Mbona hamumpongezi baba yenu kwa kulinew limkataba tena kwa muda mwingine(in Masanja's voice)......au hamjapenda nini? Wapi Ntuzu.......

Mi nipo my everlenk Dada Yake na cute b Wa ukweli......

Naangalia mtifuano Wa one cater na ENZO ulionifanya nikae pembeni kidogo maana wengine hatujazoea lugha za maudhi na ugomvi!

Pakiwa shwari kabisa tutakua wote lkn km ndio hivi duh bora niwe nachungulia tu.
 
Karibu OT mkuu kwa hizi dk, baadae tutarudi hapa.
 
Last edited by a moderator:
na wewe one cater mbona umepaniki kwani manure ni ya mama yako?! ........... kubali ukatae kwa sasa chelsea ndio mume wako.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom