msimu Huu Chelsea imesajiri wachezaji wangapi ?? mi namjua falcao tu . nitajieni na wengine
Ndugu yangu mbona hapo umewafagilia sana....ulikuwa unamaanisha nini?....kwa FA hawatupati hata kidogo aliyetuzidi ni Arsenal tena katupita kwa moja baada ya mwaka huu kuchukua
Utanielewa tu....enzi hizo Intercontinental Cup tulishinda 1999.....then 2008 FIFA Club World Cup.......toka mwaka 2000 ilipoanzishwa ni miaka 15 sasa katika Uingereza yote Man U pekee ndo imechukua kombe hilo.....
Hicho kikombe walikishindwa koz ata ile Champions League waliichukua kimagumashi ndomaana ata msimu uliofuata wakawa bingwa mtetezi wakwanza kutoka katika hatua ya makundi..
Kaka kimagumashi vipi, wakati timu ilishakuwa na spirit ya kuchukua hilo Kombe, kwani hukumbuki kabla ya hapo Chelsea ilicheza Fainal na United?
msimu Huu Chelsea imesajiri wachezaji wangapi ?? mi namjua falcao tu . nitajieni na wengine
Ile final ya United vs chelsea ilikuwa ni misimu kama 2 nyuma kama sikosei, atleast chelsea ile ilikuwa nzuri kuliko hii iliyochukua ilikuwa mbovu mbovu basi tu upepo mzuri uliwapitia, kwaufupi katika miaka 10 iliyopita bingwa mbovu kabisa kuchukua Champions League alikuwa ni chelsea..
we nimeshakuona unabwabwaja tu!' kwa kuwa una kifurushi cha chuo!' basi kinakupeleka peleka unaandika andika tu!' ........ hivi timu inaanza tokea group stage, inakuja 16bora, robo, nusu, fainali na inashinda!' kuna cha upepo hapo?!' nyie mliokua sio wabovu mbona hamkuchukua?!
umepewa na fact hapo juu about trophy won in the past decade, naona umekaa kimya hata hujazungumzia mana ulikua unabisha kitu halafu kichwani empty set.
Wewe nyau akuna fact yoyote iliyonikimbiza sema mda wa kubishana bishana kama sina chakufanya uwa sina , mwanzoni alizungumzia miaka 15 alafu akashuka mpaka 10, alafu izo fact za kusema chelsea amekuwa timu bora kwa england ziko wapi.?? Kuchukua FA CUP na Europe league, Man United kacheza final 3 za Champions katika iyo miaka, semi final 4, Epl 5 ivyo tu vinatosha kusema nani ni mwanaume wa ENGLAND katika iyo miaka tena mngefanya miaka 20 kabisa na sio kuwa bingwa wa FA CUP na Europe league, alafu kuhusu bundle la chuo ni kuwa nimeacha kutumia line ya tigo toka 2010, siku Voda au Airtel wakianzisha izo huduma nao utaniambia niwe naenda kujiunga .. Ni**a
Ahaaaaa kumbe unatumia airtel zone ndo maanaaaaaa au voda nikopeshe!???? Hahahhaha
A a a a a a a a sijui ata wanakopaje, wapark bus bwana ngoja Ayew awanyooshe leo..
Mbona hamumpongezi baba yenu kwa kulinew limkataba tena kwa muda mwingine(in Masanja's voice)......au hamjapenda nini? Wapi Ntuzu.......
Tupo weekend mode...nimeiona.
Kuna cokumnist aliandika jana...Mourinho kuwa Chelsea ni sawa na point 10. That's why we win...
Tupo weekend mode...nimeiona.
Kuna cokumnist aliandika jana...Mourinho kuwa Chelsea ni sawa na point 10. That's why we win...