Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,085
Unajua mziki wa depay wew? Mesi+neymer= depay
Duh! Haya mapenzi mengine hatari!!
Unajua mziki wa depay wew? Mesi+neymer= depay
Nani hao "Wameshinda"?
Ile dugu yangu Ntuzu bado iko hapa?
Nimeangalia jukwaa hili mmegeuza jukwaa "mapenzi", mamito, usiniache nk.
Matayarisho ndio yamekamilika leo, sasa tinasubiri kuona Hazard akifanya judo art yake!
Na tabia ya wachezaji wa Chelsea kulia lia na kumzunguka mwamuzi wataacha lini?
Hata mechi ya ngao pia wanamzunguka mwamuzi?
Na yule kapucheta(Azpilicueta) alimkunja shati Chamaberlain kama ameshika kibaka.. Alifikiri anacheza mieleka?
Hii isiwaume badugu. Bado mnashikia kombe la EPL, hiki kiini macho cha Wenger Who? iwe ni changamoto tu.
Hahahaaaa kwani mkuu join date ina tatizooo?
Watu humu wana id kila jukwaa ujue. Akitaka ku act kama man u anatengeneza id akitaka kama chelsea anatengeneza id.
Yaan hawa wageni ni wabaya kuputa maelezo.
Cc. DONNGO
Matokeo ngap ngapi? wazee wa 2005
Hahahaaaa kwani mkuu join date ina tatizooo?
Watu humu wana id kila jukwaa ujue. Akitaka ku act kama man u anatengeneza id akitaka kama chelsea anatengeneza id.
Yaan hawa wageni ni wabaya kuputa maelezo.
Cc. DONNGO
Hahahaha kuna watu humu klabu zao zimewashinda ndio maana washabikia chelsea kiaina, wapi livafools wapi aseno ktbffh
Join Date
3rd February 2015
Hahahhahahahhaahha!!!! Tatizo Arse8 Hawana hela za kutulipa tungeliungurumisha humu si mchezo........pole best yangu take it easy its just a friendly match.....naomba unisalimie sana Mentor najua humu ataonekana kesho kutwa mwambie aje na zile katuni zake azirushe humu asipofanya hivyo nitazirusha... Viol mwambie nimemiss...... b5-click kipenzi take it easy..... Ntuzu ooooh!! Sweet forgive me for what i did........ ENZO nakupa Hi... haya vibabu kina nani sasa? hahahahaha
mimi naongea ukwel angalia thread zote humu za soka zimeanzishwa lini utagundua kwa timu za ulaya hii ya chelsea ndio iliyochelewa kuanzishwa
humu jf Kwan imeanzishwa ni kama mwaka 2009 kasoro mwez mmoja Wakat ukiangalia za liver man u arsenal n.k ni za long time na hii ni dhahir mashabik wa chelsea wameanza ijua jf mwaka 2009 NI HAYO TU POLENI.KWA KIMOJA KWAN KINAUMA SAAANA
Jf imeanzishwa 2006 so hizo liver+man+arsenal fans walikuwa wana discuss jf ipi???? Me nnayoijua ya maxenze melo formed in 2006, then ww ume join feb 2015, au una multiple id's???? Chelsea ndo team ya 2 kuwa na mashabiki england and #4 world wide, ingia google uone if english isn't u'r problems
Unajua mziki wa depay wew? Mesi+neymer= depay
Niko mbali mrs. Mcharo wangu everlenk siez kimbia. Nimeumia tu Wenger kufuta uchumba kwetu. Inabidi tuanze upya kumlipia mahari.
Nani hao "Wameshinda"?
Ile dugu yangu Ntuzu bado iko hapa?
Nimeangalia jukwaa hili mmegeuza jukwaa "mapenzi", mamito, usiniache nk.
Matayarisho ndio yamekamilika leo, sasa tinasubiri kuona Hazard akifanya judo art yake!
Na tabia ya wachezaji wa Chelsea kulia lia na kumzunguka mwamuzi wataacha lini?
Hata mechi ya ngao pia wanamzunguka mwamuzi?
Na yule kapucheta(Azpilicueta) alimkunja shati Chamaberlain kama ameshika kibaka.. Alifikiri anacheza mieleka?
Hii isiwaume badugu. Bado mnashikia kombe la EPL, hiki kiini macho cha Wenger Who? iwe ni changamoto tu.
Sasa Mcharo wangu ndo umesign in fasta na ukasign out dakika hiyo hiyo ndo nini?,naskia eti sasahivi EPL mtaikabidhi kwa Wenger....ndo safari ya matumaini washaanza....
Waaiiii hata haiumi kombe gani limekaa kama sahani za shule, sasa ase88 wameshinda kombe au msahani?!. hi to you too dada akee everlenk .......... tusubiri msimu uanze vibabu vitajulikana tu.