Tangu lini Wenger akamfunga Mourinho? Utakua unaota wewe
Chelsea wamecheza kishamba sana... kweli hatuna strikers
Nani hao "Wameshinda"?Done..!! Wameshinda
Unakumbuka ule msemo wa "mbichi hizi"?mabingwa wa COMMUNITY SHIELD ...
Nani hao "Wameshinda"?
Ile dugu yangu Ntuzu bado iko hapa?
Nimeangalia jukwaa hili mmegeuza jukwaa "mapenzi", mamito, usiniache nk.
Matayarisho ndio yamekamilika leo, sasa tinasubiri kuona Hazard akifanya judo art yake!
Na tabia ya wachezaji wa Chelsea kulia lia na kumzunguka mwamuzi wataacha lini?
Hata mechi ya ngao pia wanamzunguka mwamuzi?
Na yule kapucheta(Azpilicueta) alimkunja shati Chamaberlain kama ameshika kibaka.. Alifikiri anacheza mieleka?
Hii isiwaume badugu. Bado mnashikia kombe la EPL, hiki kiini macho cha Wenger Who? iwe ni changamoto tu.
Unakumbuka ule msemo wa "mbichi hizi"?
Hizi sabibu iko bichi!! Sipendagi sabibu mbichi.
Mlienda kufanya nini Wembley?
Umemsahau Fabregas??Naona Hazard keshajaa misifa leo hajaonekana kabisaaaaa....
Mo alifanya kosa kumruhusu Huyu jamaa aende Arsenal bora wangemuuza hata bure kwa stoke au simba
Wewe umechukia ? Umechukia nini? Kwa nini umechukia?naona kama umechukia kuliko sisi... cool down mkuu
Wewe umechukia ? Umechukia nini? Kwa nini umechukia?
Mechi ya mpira ina matokeo aina ngapi?
nilishasema humu hakuna mshabik wa chelsea tangu 2004 alaf nisikie tena mnfananisha neymar na panya hazard ni kosa la jana jinai kwan hazard ni levo za depay na.penado Poleni kwa kipigo