Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nani hao "Wameshinda"?
Ile dugu yangu Ntuzu bado iko hapa?

Nimeangalia jukwaa hili mmegeuza jukwaa "mapenzi", mamito, usiniache nk.

Matayarisho ndio yamekamilika leo, sasa tinasubiri kuona Hazard akifanya judo art yake!

Na tabia ya wachezaji wa Chelsea kulia lia na kumzunguka mwamuzi wataacha lini?

Hata mechi ya ngao pia wanamzunguka mwamuzi?

Na yule kapucheta(Azpilicueta) alimkunja shati Chamaberlain kama ameshika kibaka.. Alifikiri anacheza mieleka?

Hii isiwaume badugu. Bado mnashikia kombe la EPL, hiki kiini macho cha Wenger Who? iwe ni changamoto tu.

😂 😂 😂 😂 😂
 
Hahahhahahahhaahha!!!! Tatizo Arse8 Hawana hela za kutulipa tungeliungurumisha humu si mchezo........pole best yangu take it easy its just a friendly match.....naomba unisalimie sana Mentor najua humu ataonekana kesho kutwa mwambie aje na zile katuni zake azirushe humu asipofanya hivyo nitazirusha... Viol mwambie nimemiss...... b5-click kipenzi take it easy..... Ntuzu ooooh!! Sweet forgive me for what i did........ ENZO nakupa Hi... haya vibabu kina nani sasa? hahahahaha
Mentor .....njoo huku, nimekuombea msamaha kwa everlenk
 
Last edited by a moderator:
Pole sana endelea kuliwakilisha jukwaa wenzako wamekimbia mashabiki mandazi!!!.....big up kalou:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:

kwenye washabiki 1000mashabiki wa damu wa chelsea hawawez fika hata 10 sababu kitimu chao ni.kama kimeanzishwa mwaka 2005
 
Last edited by a moderator:
kwenye washabiki 1000mashabiki wa damu wa chelsea hawawez fika hata 10 sababu kitimu chao ni.kama kimeanzishwa mwaka 2005
PNC 1 unajua unanivunja mbavu halafu siamini kama ni wewe umewaruka futi 100 hivi.....wewe kiboko.
 
Last edited by a moderator:
Ulieandika hiyo hapo juu naomba uliza kati ya chelsea na arsena ipi inamashabiki wengi duniani chelsea ya pili kwa england na ya nne dunia
 
PNC 1 unajua unanivunja mbavu halafu siamini kama ni wewe umewaruka futi 100 hivi.....wewe kiboko.

mimi naongea ukwel angalia thread zote humu za soka zimeanzishwa lini utagundua kwa timu za ulaya hii ya chelsea ndio iliyochelewa kuanzishwa
humu jf Kwan imeanzishwa ni kama mwaka 2009 kasoro mwez mmoja Wakat ukiangalia za liver man u arsenal n.k ni za long time na hii ni dhahir mashabik wa chelsea wameanza ijua jf mwaka 2009 NI HAYO TU POLENI.KWA KIMOJA KWAN KINAUMA SAAANA
 
Last edited by a moderator:
kwenye washabiki 1000mashabiki wa damu wa chelsea hawawez fika hata 10 sababu kitimu chao ni.kama kimeanzishwa mwaka 2005

Wewe SHABIKI wa DAMU wa timu gani kwenye EPL?
 
mimi naongea ukwel angalia thread zote humu za soka zimeanzishwa lini utagundua kwa timu za ulaya hii ya chelsea ndio iliyochelewa kuanzishwa
humu jf Kwan imeanzishwa ni kama mwaka 2009 kasoro mwez mmoja Wakat ukiangalia za liver man u arsenal n.k ni za long time na hii ni dhahir mashabik wa chelsea wameanza ijua jf mwaka 2009 NI HAYO TU POLENI.KWA KIMOJA KWAN KINAUMA SAAANA

Join Date
3rd February 2015
 
Wanasema mwanzo mbaya huashiria mwisho mzuri. Naitabiria mema kipenzi changu Chelsea katika msimu unaoanza punde.
CHELSEA YOU ARE REAL BLUES!!!!!!
 
Matairi ya Yokohama sio mazuri, mnahitaji kupata striker mpya (Diego Costa na Falcao) hawa wote ni spear mkononi
 
nilishasema humu hakuna mshabik wa chelsea tangu 2004 alaf nisikie tena mnfananisha neymar na panya hazard ni kosa la jana jinai kwan hazard ni levo za depay na.penado Poleni kwa kipigo

Unajua mziki wa depay wew? Mesi+neymer= depay
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom