Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chrlbus mnajua kumtumia sana falcao naona ashaanza kuwapa magoli ya failure hahahaaaa
 

Attachments

  • 1438574780538.jpg
    1438574780538.jpg
    21.4 KB · Views: 83
Iiiiiiiii ng'aaaaaaaaa niacheni nilie jamani kwa nini hawa watoto siku hizi wanaachia tuu dimbwliiiiii
 

Attachments

  • 1438574880288.jpg
    1438574880288.jpg
    18.9 KB · Views: 83
Chelsea kwisha habari yenu.
Ila haiwaumi najua hahahahaaa
 

Attachments

  • 1438575117751.jpg
    1438575117751.jpg
    27.9 KB · Views: 85
Duuuh sio kwa kununa huko ngoja niishia hapa kwa asubuhi hii
 

Attachments

  • 1438575173875.jpg
    1438575173875.jpg
    20.4 KB · Views: 87
Arsenal kumuotea mara 1 mbabe wenu ndo mnajisifuuu,... subirini kivumbi cha epl tutakavyowatimulia... jana mpira tumepga mwingi tu ila bahati haikuwa yetu
 
haya mambo mengine hayana haja ya takwimu.ila ni.kutumia elimu ya kuzaliwa hv wewe chelsea uliyekaa miaka 55 bila kombe lolote na miaka zaid ya mia bila kupat uefa had drogba alipokusev leo hii wasema wewe kidunia wanne yani unajisifu kuwa umepitwa na man u madrid barca Sasa wewe waweza jifananisha na liver acmilan.bayern labda hao wakubwa saana yani weee type yako ya Newcastle na aston vila na ndio mana torres mwez uliopita alisema katika kosa alilolifanya kama mwanasoka ni kuhamia chelsea sababu mashabik wake wameanza shabikia mpira 2005 na haya ndio matokeo yake ninayoyaona hata mie watz

Some other facts are xxl to some micro fan like huyo
 
Mentor hamna mtu msumbufu kama wew man U ikifungwaa hahahaaa

Asante pachaaaaa umenimalizia hasira zangu zoooooooooteeeeeeee!!!! Kinywaji gani unatumia aiseee!!!!.......
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom