DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Tangu lini Wenger akamfunga Mourinho? Utakua unaota wewe
ila stoke,spurz,villa wanaweza,c ndio?ndo mana nakifananisha haka katimu na vitimu kongwe vya vpl teh teh teh
time za saa 2 ucku uwepo hapahapa tupeane feedback mkuu!
maneno mengi sio dawa usiwe kama kale katimu flani cha magazetini kalichokatwa juzi kagame cup!teh teh