everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Ha ha ha ha ha, hawa washika bunduki na mitutu wanakuwa nayo mingi sana na wanajiandaa vizuri sana, ila sasa wakianza kufyatua unashangaa maji yanatoka tena bora yawe ya moto hata yaunguze, yaan yanatoka baridi kabisa.....
Haya mimi chichemi tena .....siku hiyo nitakuwa pembeni kabisa na kahawa yangu na kashata zinashuka taratibu nacheki game bila presha yoyote ya kushangilia kama De Gea last Saturday..... Lol