everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Huo uwezo watoe wapi?
Arsenal wangependa kushinda lakini uwezo hawana.
Watajitahidi kupunguza idadi ya magoli.
Watajitahidi kupunguza idadi ya magol kama sisi siyo eeh???
Shauri yenu Wenger sikuhizi kawa mtamu mcharo haoni ndani.... Ile kasi ya wale watoto sijui?? Labda mtumie unazi wenu....... Lol kunguru mjanja ameshaniahidi hata kwa njia za panya watashinda...
Last edited by a moderator: