Manumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 1,746
- 1,283
Samahani wakuu, bado nilikuwa namalizia kiporo cha mapitio ya ushindi wa juzi. the tactical parts za huo ushindi. na hii itazima kabisa kelele za ooo mwakani mtatukoma, mnaona tulivyocheza/kaa na mpira. kumbe ile ilikuwa strategy. kaeni na mpira dkk zote lkn it is to your disadvanatge kukaa na mpira na wala sio advantage. Hicho ndo kichwa cha Maurinho. so mwakani akiona the best strategy ya ushindi ni kwa Chelsea kukaa na mpira, mtaanza kuulizana mbona mwaka jana tulikaa na mpira leo hatuuoni? it all depends na strategy in play siku hiyo!!
now on Arsenal. Arsenal wanapenda kukaa na mpira na kupeana pasi fupi fupi za kasi, (one touches). the drive nyuma yao ni Carzola, yule M-welish anayejiona anajua sana mpira (Ramsey) na nyuma yao kukiwa na yule kiundo mkabaji waliyemgudua recently (Coquellin (sp?)) Giroud bila ay kupata supply toka kwa hao, na kutokea pembeni, it is well as hayupo uwanjani. yule jamaa aliyetgokea Manyu yeye ni kukimbia tu na anaweza akakimbia 10 times only once akawa na faida. huyu nae hana madhara ya maana. Yule Mchile ndo tegemeo lao kubwa na kwenye mechi ya kwanza ndiye pekee aliyeonekana kusimama na kuwatuma wenzake wainuke wasiogope wacheze mpira. Tatizo lingine kubwa la Arsenal ni kuwa ikija mechi na Chelsea, tayari mentally wanakuwa wameshakubali kipigi i.e. kama mbwa kwa chatu. Katika hali kama hii, kicha anatakiwa kuwainua wachezaji wake ili waweze kupambana. tatizo kwa Arsenal tayari babu Wenger body language yake nae ni sawa na ya wachezaji wake. kale katusi ka 'specialist of failures' kanamsumbua sana mukichwa na nafsini...no wonder alitaka kuzichapa kavukavu last time darajani.
Kwa matinki hiyo ili kutowapa Arsenal na kutumia vyema hiyo failed mental status yao, ni bora tuanze kwa mashambulizi ya ajabu tangu min 1. Ndani ya 20 Mins tukiwa na bao 2 basi gamu limeisha kabisa. tukipata bao 2 ndani ya dkk 10, watajua leo zile 6 zinakuja hapa hapa nyumbani (sio ajabu tukaanza kuona mashabiki wenye roho nyepesi emirates wakianza kuondoka inside 15 mins). na ili tuwe na attacking options nzuri zaidi n ivyema Fab arudi kwenye position yake. mbele yake wale Willian, Hazard na OScar wote waanze. sina uhakika na hali za Remy Costa lkn wanaweza kupishana kule mbele baada ya dkk 60 mwingine aingie kumpokea mwenzake. huku nyuma majembe yetu ni yale yale ya siku zote.