Waoh.. nimetokea mitaa yenu kukusaka mtoto mzuri sijakuona.. Shikamoo
yule mzee small mmempa mkataba tena!??
Unanisalimia Shikamoo unataka kuninyima nini,lol
Mkiendelea na sherehe zenu kwa Manu itabid nikate mguu kabisa humu....
Smalling anadeserve kupata new contract kawa mtamu sana siku hizi......
Kane lazima ashinde, si unajua Muingereza yule
Ile mechi inaonekana Chelsea wanawanunua waamuzi.Wewe jamaa hata kama unazi umezidi. Mbona hizo takwimu zinakung'ong'a?!?
Rentboys walikuwa na 16 touched katika United's area na United wakiwa na 24 touches. Sasa hapo bado unabisha kuwa Rentboys hawakupaki basi?!? Mpira umechezwa zaidi katika eneo la Rentboys.
Angalia hizi analytics za whoscored.com uone wapi mpira ulichezwa sana. Nenda kwenye kipengele cha heatmaps.
Chelsea-Manchester United
Nahodha wenu mwenyewe alikiri hivi: "We've blipped a bit but we are still picking up results."
Kane lazima ashinde, si unajua Muingereza yule
Ile mechi inaonekana Chelsea wanawanunua waamuzi.
Terry alimpiga mweleka wa nguvu Falcao. Refa akapachika miwani nyeusi...na ni kutokana na kutoamini yaliyotokea wachezaji wa United walizubaa kidogo na ndio move iliyozaa bao la Mcheza marshal art,judo.
link John Terry fouled Radamel Falcao in the build-up to Chelsea opener against Manchester United say Sky Sports pundits- | Daily Mail Online

Sir Alex inajulikana wazi alikuwa anatembeza bahasha. Sasa ni Chelseachovich ndio anafanya huo umafia.MAN UTD ndo timu inaongoza kwa utajiri UINGEREZA sasa kama wao hawanunui marefa; hela zao wanatumia kwenye nini?
tehe tehe tehe tehe..
cc. Nonda, Mentor, Ntuzu. RRONDO.
Sir Alex inajulikana wazi alikuwa anatembeza bahasha. Sasa ni Chelseachovich ndio anafanya huo umafia.
Sir Alex inajulikana wazi alikuwa anatembeza bahasha. Sasa ni Chelseachovich ndio anafanya huo umafia.