Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,979
Mkuu kwa hapa ngoja tusikile mpaka jumamosi itakuwaje, kama kukiwa hakuna Striker tunaweza kuanza na false 9, ambayo atasimama Oscar.....halafu baadae hata Issah Brown au Solanke anaweza kuingia
Ila kwanza tusubiri magic touch ya Eva
Mmeshaanza kuweweseka kama sisi kwa Carrick hii ni dalili mbaya sana.......licha ya maombi yangu kuwa na mwanangu Eli79 lakini katika jicho la tatu namuunga mkono RRONDO kwa style wanayocheza sasahiv Arsenal naona kibarua ni kizito zaidi yetu maana wanakasi sana, Yale mambo ya show off chenga twawala lakini hamna goal yameisha siku hizi wana njaa ya magoli sana,communication as a team wawapo uwanjan imekuwa nzuri,wako nyumbani fitina za wanaz wa EPL hazikosekani ingwaje tunajua nyie ndo wanene wetu.....
Sina la kutabiri kwamba nani ni mshindi.Kwa jinsi mlivyonitesa humu maombi yangu yawe na mshirika wangu anilipie kisasi tu potelea pote atabaki nafasi ya pili..... Lol

Duuh!! Pole sana everlenk maana Yale machungu si mchezo mbaya zaidi nyie ndo mmecheza mpira na nyie ndo mmefungwa halafu soda yako baridi sijui ntakupa wapi. Unambie sehemu ya kukupa soda yako,
Ila kwa game ya Arsenal sikatai Kuwa wanambio sana kwa sasa ndo maana mimi naona anatakiwa akae Mikel pale kati ili apooze kazi yao. Tunatakiwa tusiende kwa kasi kama wao ila tutulie na tucheze taratibu huku tukifungua milango yao, kwa kuitekenya kwanza taratibu.

Usije kule kwa shari zenu mahesabu na nyie kwishnei tukutane msimu ujao........tuachien sport lady wetu tupange na kupangua namna yakuwachapa hawa wapinzani wetu watano waliobaki......
Jose the valet parking attendant Mourinho.
Sitii neno...... b5-click kunguru mjanja nawaita huku wakuu.....
hakuna tatizo mkuu Ntuzu;
tunaweza kucheza 4-3-3 ambayo tumecheza mechi zote za ugenini.
inaweza kuwa hivi: mabeki 4 = ivanovic, cahill, terry na azpilicueta.
viungo 3 = zouma, matic na fabregas.
washambuliaji = Oscar, willian na HAZARD # 10.
hapo ni kutembeza bakora tu...