Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #25,081
Wakuu tufanye tathmini kwa haraka haraka juu ya mchezo wetu na ManU Wa juzi huku tukiangalia tufanye nini ktk game ijayo......
Kwa kuanza mi nasema hivi mchezo wetu na ManU ulikua mgumu sn hasa kutokana na hawa makocha kuwahi kufanya kz pamoja....hii ilikua ni sababu moja kubwa kwa ule mchezo kua mgumu... LvG alikuja darajani akiwa anamfahamu vzr José.. Na José aliweza kumsoma LvG namna atakavokuja na mbinu zake zote na ile hali ya kupambana.....
Kuna sababu nyingine nyingi zilifanya ule mchezo uwe mgumu na ndio maana José alikua na ile approach na kupeleka ManU kuchemsha.
Kwangu Mimi mchezo wetu na Arsenal utakua ni mgumu na mwepesi sio km huu Wa ManU ulikua mgumu sn....ila ninaona kuna uwezekano mkubwa Mou kufanya mabadiliko kidogo hasa kwa Zouma hatoweza kupangwa sambamba na Matic ila naona Obi anaweza kuanza na Willian na Hazard kua wings....
Nisiseme yote niwakaribishe wadau wote Wa the blues ktk kuchambua.
Nacho sisitiza ni kwamba Emirates tunakwenda kuifunga Arsenal... Mou anakuja kivingine...
Karibuni.
Cc kunguru mjanja b5-click the say Mentor Manumbu ligera Root kalou Viol Kituko na wengine wooooote ambao sijawataja....
kunguru mjanja nakusoma Mkuu vzr sn.....
Kwakifupi Mkuu Arsenal hawatotusumbua km ManU vile....huyo Coq ndio kiungo wao mkabaji anacheza sanjari na Ramsey....hao kina Cazarro na Ozil na hawana mazara yoyote...hawa wote watawekwa mifukoni tu...hakuna mbinu ingine nikuwaweka mifukoni na vile vichezaji vyao vyote muhimu unaviweka mfukoni kz inakwisha.....
Mkuu, ntuzu vp lkn mi naanza hv, kuwapunguza arsenal kwanza ni kumkamata Sanchez,cazora, na Ramsey hapo mechi itakuwa imeisha sasa hawa watu ni kuwawekea Ramirez,willy na matic wakuu ninaona kabis mou atampa ramisez majukumu ya kumonita mienendo yoooote ya Sanchez wakuu hii game si ngumu km ya man kamata Sanchez habar imeisha. Nawasilisha
Ntuzu ujue kuwaNi kweli Mkuu...hii game ni nyepesi sn kuliko ya ManU.. Nakumbuka ata ktk chambuzi zetu nilipendekeze approaching yetu iwe km vile Mourinho alivyofanya...sasa ukiwaangalia hawa Arsenal ni wepesi sn kuliko ManU ingawa najua watataka kutuletea vurugu sn na kutufunga. Lkn swala la muhimu ktk huu mchezo ni nidhamu na umakini unatakiwa uwe Wa hali ya juu. Mbinu za kocha pamoja uwezo Wa wachezaji vikichanganywa pamoja tutapata matokeo mazuri.
Ntuzu ujue kuwa
1.arsenal moves the ball better and quicker than man utd
2.arsenal have more options upfront than united(coz united missed Rooney upfront)
You will face more problems from arsenal than united,for the first time in more than ten years I can say confidently arsenal will beat you!
Tusubiri form yao watakayokuja nayo. May 17 ni mbali anything can happen Kama injuries etc. Usisahau walikuja wakatufunga kwenye FA cup
Sawa mkuu prondo Nakubali waliwafunga, nakubali mpira ni mchezo wa makoso ila sasa nyie pale waliwafunga kutoka na tu na uzembe wa Valencia. Inawezekana uzembe kama ule akaufanya mchezaji wetu sikatai.....ila sasa ni makosa ambayo ni nadra sana. Na arsenal hata wakianza wao kufunga mkuu sisi tunarusisha na kushinda hiyo mechi.
Eli79 Kiongozi.....timu yenu ni nyepesi sn haina madhara ktk idara zote....
Ninachopenda kukuambia leo kua sasaivi wengi wanamshambulia Mou kua ana mbinu moja tu....sasa akija Emirates anakuja kuwaonyesha kila aina ya mpira anaweza kuchezesha au kufundisha....
Ni kweli Mkuu...hii game ni nyepesi sn kuliko ya ManU.. Nakumbuka ata ktk chambuzi zetu nilipendekeze approaching yetu iwe km vile Mourinho alivyofanya...sasa ukiwaangalia hawa Arsenal ni wepesi sn kuliko ManU ingawa najua watataka kutuletea vurugu sn na kutufunga. Lkn swala la muhimu ktk huu mchezo ni nidhamu na umakini unatakiwa uwe Wa hali ya juu. Mbinu za kocha pamoja uwezo Wa wachezaji vikichanganywa pamoja tutapata matokeo mazuri.
Tusubiri form yao watakayokuja nayo. May 17 ni mbali anything can happen Kama injuries etc. Usisahau walikuja wakatufunga kwenye FA cup
Ni kweli Mkuu...hii game ni nyepesi sn kuliko ya ManU.. Nakumbuka ata ktk chambuzi zetu nilipendekeze approaching yetu iwe km vile Mourinho alivyofanya...sasa ukiwaangalia hawa Arsenal ni wepesi sn kuliko ManU ingawa najua watataka kutuletea vurugu sn na kutufunga. Lkn swala la muhimu ktk huu mchezo ni nidhamu na umakini unatakiwa uwe Wa hali ya juu. Mbinu za kocha pamoja uwezo Wa wachezaji vikichanganywa pamoja tutapata matokeo mazuri.
Ntuzu ujue kuwa
1.arsenal moves the ball better and quicker than man utd
2.arsenal have more options upfront than united(coz united missed Rooney upfront)
You will face more problems from arsenal than united,for the first time in more than ten years I can say confidently arsenal will beat you!
Ntuzu ujue kuwa
1.arsenal moves the ball better and quicker than man utd
2.arsenal have more options upfront than united(coz united missed Rooney upfront)
You will face more problems from arsenal than united,for the first time in more than ten years I can say confidently arsenal will beat you!
Umekwepa kujibu mkuu....sasa mimi nakusaidia japokua sio shabiki wa Man Utd lkn ninachokuambia leo kua Arsenal akikanyanga OT tena haifungi Man U ata sijui kuwe na majeruhi au shida gani....Man U kwa sasa ni timu amabayo sisi chelsea itatuletea upinzani sn tofauti na hizi timu zingine......
Nikija ktk swala lako la Arsenal kuifunga chelsea hiyo next sunday....sioni km kuna dalili za hatari kutoka ktk kila idara ya arsenal....kuanzia viungo wa kati wingers na ata washambuliaji pamoja na kua arsenal ni wazuri ktk kumiliki mpira.
Ninachoweza kusema ktk mchezo wa arsenal hatuhitaji tena huduma ya Zouma km kiungo mkabaji pale kwa Matic tunahitaji Kiungo mwenye uzoefu wa nafasi hiyo ili tuweze kumiliki mpira na kuuchezea tunavotaka ingawa in mind tutakua defensive kwasababu hatutakiwi kupoteza huo mchezo. Sasa hapa Mou atakuja na Matic na Obi. Hawa wawili watafanya ngome yetu kua ngumu sn na pia km uliona mpira wetu na nyie Man U juzi tulikua tukiwapora mipira tunashindwa kukaa nayo hasa kutona na Zouma sio mzuri sn ktk kuchezea sn mipira kwahiyo tulikua tunapoteza sn mipira na nyie marking yenu ilikua kubwa sn kwa watu hawa Matic, Faby Oscar na Hazard... Hamkutaka kabisa kuwaruhusu hawa watu wachezee mipira kwa uhuru...kwahiyo walipopora mipira kwenu Man U waliwaendea kwa kasi na wengi kuwakaba na kuzuia counter attack na chelsea wakawa wanajikuta mipira inapotea...Sasa kwa arsenal tunahitaji mafundi pale kati amabao wataweza kukaa na mipira na kutoa pasi za uhakika. Na pia tunahitaji kucheza kitimu zaidi kila upande kwa muda wote... ninachoweza kuona Mou atarudi ktk kikosi chake kile kile cha siku zote ila kinahitaji kufanya kazi ya ziada muda wote. Zouma ataanzia bench...au Cahill atakaa benchi na Zouma kupewa jukumu la kumuweka mfukoni Geroud....tunahitaji kutiririsha mipira kutoka kila upande...Hazard na Willian watakuwepo. Faby na Matic na Obi watakuwepo....Gunners wajipange sn aiseee.
mkuu prondo i agree Arsenal might have more options upfront but mou has got a thousand and one ways to destroy those "options", control the game and win it. why write using saliva while ink is around the corner? let's wait and see how mou is going to demolish the "specialist in failure" in the upcoming game.
I will be watching