Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Philip Anthony "Phil" Jones

  1. Born: February 21, 1992 (age 23), Preston, Lancashire, United Kingdom
  2. Height: 5' 11" (1.80 m)
  3. Weight: 157 lbs (71 kg)
  4. Salary: 2.6 million GBP (2011)
  5. Current teams: England national football team (Defender), Manchester United F.C. (#4 / Defender)
  6. Parents: Helen Jones, Mark Jones

Mentor

  1. Born: January 28, 1987 (age 28), Tanzania
  2. Height: 5' 11" (1.80 m)
  3. Weight: 155 lbs (66 kg)
  4. Salary: ** million TSHS (2015)
  5. Current work: writer, Chelsea fan, humanitarian, teacher, polisi, insurance broker, etc
  6. Parents: Baba Mentor, Mama Mentor

Hahahahahahaha!!!! Natangaza Phil Jones is more handsome than Mentor......ila huyo Jones mdogo naye lakin ntakalea hivyo hivyo... Mentor size lakin ujana mwingi tutasumbuana halafu hana hela.....Lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha!!!! Natangaza Phil Jones is more handsome than Mentor......ila huyo Jones mdogo naye lakin ntakalea hivyo hivyo... Mentor size lakin ujana mwingi tutasumbuana halafu hana hela.....Lol
everlenk huoni nimeeka nyota mbili hapo...it ranges from 10 - 99. Be sure of your choice madam...
 
Last edited by a moderator:
Manumbu Mentor agosti 8 na wengine wote tumeona namna Mou alivyopanga mikakati ya kuwadhibiti ManU hasa kwa kukata zile krosi zao na kuhakikisha Fellain hapati mipira na haleti shida na kumdhibiti Rooney hapo kati na nyendo zao zooooote.. Kwa Arsenal, wachezaji gani wanapaswa kuwekewa marking kubwa?

Mkuu Ntuzu kwa game ya Arsenal mimi naona watu wa kuwazuia ni watu wawili tu, kuna yule Sanchez na kuna ile mbegu fupi inaitwa Carzola, tukiweza kuwazuia hao kikamilifu kazi utakuwa imeisha...

Lakini pia ni kuhakikisha Kuwa yule jamaa yao anaitwa corquillin (am not sure na jina) hapati mipira kutoka kwa viungo wetu na yeye haya akipata haiendi mbele.

Naamini tukifanya hivyo basi hawana chao tena
 
Last edited by a moderator:

Philip Anthony "Phil" Jones

  1. Born: February 21, 1992 (age 23), Preston, Lancashire, United Kingdom
  2. Height: 5' 11" (1.80 m)
  3. Weight: 157 lbs (71 kg)
  4. Salary: 2.6 million GBP (2011)
  5. Current teams: England national football team (Defender), Manchester United F.C. (#4 / Defender)
  6. Parents: Helen Jones, Mark Jones

Mentor

  1. Born: January 28, 1987 (age 28), Tanzania
  2. Height: 5' 11" (1.80 m)
  3. Weight: 155 lbs (66 kg)
  4. Salary: ** million TSHS (2015)
  5. Current work: writer, Chelsea fan, humanitarian, teacher, polisi, insurance broker, etc
  6. Parents: Baba Mentor, Mama Mentor
Hahahaaha.....mecheka sana! haya Mentor uanze kusalimia kaka zako humu....
 
Last edited by a moderator:
Pia kwa sababu ya hayo niliyoongea hapo juu nanona anatakiwa kuanza Obi Mikel kiungo asiye na haraka, ili kupoza kazi yao..
Na washambiliaji wetu akina Hazard na Willian wanatakiwa kishambulia ili uwafanya mabeki wa Arsenal wa pembeni wasipande hata kidogo, maana kama yule Monreal anauwezo wa Kupiga kross nzuri ambazo kama kwa bahati mbaya zikimkita Gerioud zitatuumiza.
 
Dogo yuko vizuri mkuu. Yeye na Les Coq wameimprove sana msimu huu, tegemea battle ya kiume baina ya Berellin/Debouchy na Hazard

Kweli mkuu Eli79 hao madogo watakaza sana, yeyote atakaeanza ila tunajua mwisho wa siku nani atakuwa mshindi baina ya battle yao....
 
Last edited by a moderator:
kunguru mjanja nakusoma Mkuu vzr sn.....

Kwakifupi Mkuu Arsenal hawatotusumbua km ManU vile....huyo Coq ndio kiungo wao mkabaji anacheza sanjari na Ramsey....hao kina Cazarro na Ozil na hawana mazara yoyote...hawa wote watawekwa mifukoni tu...hakuna mbinu ingine nikuwaweka mifukoni na vile vichezaji vyao vyote muhimu unaviweka mfukoni kz inakwisha.....
 
Ndio hivyo mkuu hakuna jinsi ni kuwaweka mfukoni tu.

Kusema kweli mimi naamini game ya Arsenal haitasumbua kama ya Man U, tukiweka mfukoni Coq, na yule mbegu fupi Carzola na Sanchez hao wengine lazima wapoteane kama ozil(mla chips mayai) na Ramsey. Na hapo ndipo utaona Wenger anamuingiza Rozisky.
Basi sisi kwetu game ndo inakuwa laini zaidi
 
Last edited by a moderator:
Wakuu tufanye tathmini kwa haraka haraka juu ya mchezo wetu na ManU Wa juzi huku tukiangalia tufanye nini ktk game ijayo......

Kwa kuanza mi nasema hivi mchezo wetu na ManU ulikua mgumu sn hasa kutokana na hawa makocha kuwahi kufanya kz pamoja....hii ilikua ni sababu moja kubwa kwa ule mchezo kua mgumu... LvG alikuja darajani akiwa anamfahamu vzr José.. Na José aliweza kumsoma LvG namna atakavokuja na mbinu zake zote na ile hali ya kupambana.....

Kuna sababu nyingine nyingi zilifanya ule mchezo uwe mgumu na ndio maana José alikua na ile approach na kupeleka ManU kuchemsha.

Kwangu Mimi mchezo wetu na Arsenal utakua ni mgumu na mwepesi sio km huu Wa ManU ulikua mgumu sn....ila ninaona kuna uwezekano mkubwa Mou kufanya mabadiliko kidogo hasa kwa Zouma hatoweza kupangwa sambamba na Matic ila naona Obi anaweza kuanza na Willian na Hazard kua wings....
Nisiseme yote niwakaribishe wadau wote Wa the blues ktk kuchambua.

Nacho sisitiza ni kwamba Emirates tunakwenda kuifunga Arsenal... Mou anakuja kivingine...

Karibuni.

Cc kunguru mjanja b5-click the say Mentor Manumbu ligera Root kalou Viol Kituko na wengine wooooote ambao sijawataja....

Sometimes unachohitaji ni matokeo tu, Mou analijua vizuri hilo..
Tofauti ni kwamba hizi "inform team" usipoziendea kwa hesabu zitakupotezea ubingwa..

Arsenal hatujitaji kupaki basi, hawa tutawafanya vizuri tu kwa mbwembwe..

KTBFFH
 
Last edited by a moderator:
Sometimes unachohitaji ni matokeo tu, Mou analijua vizuri hilo..
Tofauti ni kwamba hizi "inform team" usipoziendea kwa hesabu zitakupotezea ubingwa..

Arsenal hatujitaji kupaki basi, hawa tutawafanya vizuri tu kwa mbwembwe..

KTBFFH

Duh!!! Watoto wa Mou mna maneno,nimekosa wino tu kuyabold hayo maneno...........eti tutawafanya......
 
Sometimes unachohitaji ni matokeo tu, Mou analijua vizuri hilo..
Tofauti ni kwamba hizi "inform team" usipoziendea kwa hesabu zitakupotezea ubingwa..

Arsenal hatujitaji kupaki basi, hawa tutawafanya vizuri tu kwa mbwembwe..

KTBFFH

Kweli kabisa mkuu hawa hawana shida, narudia tena pale tunaenda kwa kazi moja tu kudhihirisha maneno ya baba kwamba "Wenger is a specialist of failure" basi
 
Dawa ya Arsenal inachemshwa sasaivi....siku hiyo ni kuwaweka mifukoni tu...vunja vunja mbinu zao zote... Eli79 nitafutie kashengo....sijui bado yuko ManU kwa mkopo?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom