Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pengine Bwana atakuwa nawe, nawe utalijenga hekalu na vita havitakuwapo tena katika utawala wako tafadhal uwe hodari na moyo wa ushujaa ukanilipie kisasi juu ya watesi wangu.......... Kelele hizi zikakome......... Mcheza kwao hutuzwa tafadhali lizingatie hilo....

everlenk najua umetoa sala hii kwa sababu ya machungu ila najua mwisho wa siku lazima uwe nami siku ya mechi, na utakuwa unaomba nishinde sana sana. Kwani nani asiyejua Kuwa wewe nafasi ya pili unaitaka kwa udi na uvumba.
 
Last edited by a moderator:
On Arsene Wenger...

"I think he [Arsene Wenger] is one of those people who is a voyeur. He likes to watch other people. There are some guys who, when they are at home, have this big telescope to look into the homes of other people and see what is happening. Wenger must be one of them - and it is a sickness."
 
seriously??? nitakuwa na matatizo nikitegemea timu ile ya moyes na hali aliyoanza nayo LVG ipate kombe...labda itokee tu!!! mbona nimesema wazi,tungeambiwa mwanzoni mwa ligi kuwa tutakuwa wa tatu mwezi machi nyuma ya nafasi ya pili kwa point moja tungeshukuru sana....ila baada ya perfomance ya season hii,mwakani tukikosa hata capital one cup nitaweweseka.....target mwaka huu ilikuwa kuingia top four ambayo nafikiri tuna nafasi kubwa kuipata.

NASISITIZA TENA MKIWAFUNGA ARSENAL NIPIGWE BAN MWEZI MMOJA.....mimi sio Malafyale aliyetengua kauli zake

cc: Invisible Moderator

Hizo ni km zile sizitaki mbichi hizi....mlikua ktk title race tena mlikua mmedhamiria kweli....tuliwasoma kupitia nyuso na kila mchezo mliokua mnacheza...kwahiyo msitutie maneno hapa kwamba mlikua mnataka kuingia top four tu....
 
Last edited by a moderator:
Hizo ni km zile sizitaki mbichi hizi....mlikua ktk title race tena mlikua mmedhamiria kweli....tuliwasoma kupitia nyuso na kila mchezo mliokua mnacheza...kwahiyo msitutie maneno hapa kwamba mlikua mnataka kuingia top four tu....

naona umeamua kubisha tu kama kawaida yako. SAWA UKO SAHIHI.
 
10393778_982318441786134_3404047528036298559_n.jpg

Our on loan striker Patrick Bamford has been named Championship Player of the Year for 2014/15.
 
Hahahahaaaa Manumbu kweli mwaka wetu huu

Na leo vijana wetu wa under 18 wanacheza fainli ya FA dhidi ya Man City!! Yani kuna revolution fulani imetokea darajani na matokeo yake sasa kila level tuliyomo sisi ni washindi tu!!

Manchester City Under-18 boss Jason Wilcox, speaking in the build up to Monday's FA Youth Cup final first leg with Chelsea, says he is confident of "getting players into the first team" at the Etihad Stadium.
 
then; kuna watu hawajui yanayoendelea..watasema hatukuzi vipaji..

bila kusahau vikosi 2 vya wachezaji walioko kwa mkopo timu mbalimbali...

CHELSEA FC - THE IMPOSSIBLE

Na leo vijana wetu wa under 18 wanacheza fainli ya FA dhidi ya Man City!! Yani kuna revolution fulani imetokea darajani na matokeo yake sasa kila level tuliyomo sisi ni washindi tu!!

Manchester City Under-18 boss Jason Wilcox, speaking in the build up to Monday's FA Youth Cup final first leg with Chelsea, says he is confident of "getting players into the first team" at the Etihad Stadium.
 
Hizo ni km zile sizitaki mbichi hizi....mlikua ktk title race tena mlikua mmedhamiria kweli....tuliwasoma kupitia nyuso na kila mchezo mliokua mnacheza...kwahiyo msitutie maneno hapa kwamba mlikua mnataka kuingia top four tu....
Ntuzu si kweli kabisa na una utani wa ngumi weweee yaani kombe mwaka huu sisi???? Unakumbuka enzi zile tuna pigwa na Leicester tulikuwa mtaa wa ngapi na ninyi MNA point ngapi ??aiseee !!! Una utani mbaya aiseee.... Mwakani tuambie Haya maneno sawa.....
 
Last edited by a moderator:
haya mambo ya kujipiga ban hayana faida yoyote. in any case naona kama ni njia ya kuficha uso manake utakuwa huwezi kujibu hoja na utani unaorushiwa baada ya kufungwa. hakuna tija ya kujipiga au kupigwa ban. kaa in the open jibu hoja na kama vipi kiri kuwa umeshindwa kama everlink anavyofanya. hakuna kumpiga mtu ban invicible. wote wabaki jukwaani wajibu hoja kwa hoja au wakiri kushindwa!

NASISITIZA TENA MKIWAFUNGA ARSENAL NIPIGWE BAN MWEZI MMOJA.....mimi sio Malafyale aliyetengua kauli zake

cc: Invisible Moderator[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
"It was difficult, but less than you think," he said to the BBC.

"Control their direct football to Marouane Fellaini and control the wingers from making crosses on the inside foot.

"When we know Wayne Rooney plays in midfield, we control his progression into the box. Control set-pieces and don't give away direct free-kicks as they have three specialists.

"Wait for a mistake and score a goal. We were able to make their important players disappear. Nobody saw them. They were in our pockets."

11159541_982366811781297_8577303524660672124_n.jpg

Similar Discussions

Back
Top Bottom