Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Khe khe khe khe ... ... Jana ilkuwa fujo hapa kama vile nongwa na Teachers tulikaribishwa lakini leo haaa mmekuwa Invisible msikonde pamoja na pensioneers wenu sisi tupo kama kawa. Si unakumbuka mlitaka mkabidhiwe kombe November?Huwa mnaonekana wapinzani wenu wakifungwa na ukelele mwingi lakini leo si umejionea mwenyewe tena nikawakaribisha maana nilikuwa naiamini timu yangu, hatuchezi soka la kubahatisha soka linalofundishwa. Vile unaona leo kama kuku alinyeshewa na mvua. Wape salam Chelsick aka mafioso wote kwa mpigo waambie watengeneze kiwanja sio wanja kama tulilocheza leo.

http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/teams/a/arsenal/8464612.stm

Kama kushinda si tulishinda tena ushindi wa kishindo? Hakuna sababu ya kuweka kambi hapa wakati hatuna game.Tusipokuwa na game tuna geukia michezo na timu nyingine kama leo nilikuwa na vijana wa nyumbani VIkings walipokuwa wanawafanya vibaya Dallas cowboys.
 
Hey Chelseafc, i think that was super display 7-2 win, thanks to Anelka - super striker, that is what we want chelsea to be - win... win ...win and intertain.

bravoo
 
_47127558_essien.jpg

Blow for Ghana. Crocked Essien.

Confirmed out for a month by his country doc. Abra ham o vich kapeleka ndenge kumrudisha London ASAP.
 
Confirmed out for a month by his country doc. Abra ham o vich kapeleka ndenge kumrudisha London ASAP.

Yule alikuwa hajapona sawasawa, lakini asingekwenda kule ghana wangemlaumu kocha wa chelsea eti kamzuia.
 
Yule alikuwa hajapona sawasawa, lakini asingekwenda kule ghana wangemlaumu kocha wa chelsea eti kamzuia.

Uwe unasoma basi na sababu za kuumia. Hii ni injury tofauti na ile aliyokuwa nayo. Halafu nasikia kuna vijana wamefanya fujo sana kule Emirates na mojawapo aliyehusika ni mchezaji wenu wa zamani.
 
Uwe unasoma basi na sababu za kuumia. Hii ni injury tofauti na ile aliyokuwa nayo. Halafu nasikia kuna vijana wamefanya fujo sana kule Emirates na mojawapo aliyehusika ni mchezaji wenu wa zamani.

We wacha1 najua yote... nilitaka tu u-comment maana yake ulipotea baada ya kuwanyuka madogo 7-2. haya liverpool wanataka kupona kifafa na Asernal wanatishia nyau kushika nafasi za watu kwa masaa.
 
We wacha1 najua yote... nilitaka tu u-comment maana yake ulipotea baada ya kuwanyuka madogo 7-2. haya liverpool wanataka kupona kifafa na Asernal wanatishia nyau kushika nafasi za watu kwa masaa.

Nilifikiri hayo magoli 7 yangewaweka kileleni kumbe ndio nyau hao unaoongelea. Yaani mlifunga magoli saba kutishia nyau. Hao nyau basi watakuwa Manure au Loserfools. Nilisema tangu mwanzo tunawahitaji Loserfools kwenye Premier League labda hukumbuki tu.

article-1244948-07F30D7F000005DC-247_224x423.jpg
article-1244948-07F30DFD000005DC-979_224x423.jpg

Sasa huyo jamaa juu si unamuona kaingia leo Darajani akitoka huku nyumbani na magongo, tupe news basi maana nasikia uko karibu sana na Abra m o vich na kitengo kizima cha kuhudumia wachezaji wa The Mafioso. Ati ndio wamrudishe London ASAP wakati katua jana Chelsick kwa mbwembwe!

Halafu tena nikukumbushe vipi Birmingham darajani mtatoka?
 
He had a tear in the meniscus, atakuwa nje kwa wiki sita hivi. hakuna shida midfield yetu imesheheni vipaji tupu -

Birmignham vinganganizi - mbili zitawatosha -
 
Carlo Ancelotti is sure Joe Cole will be a Chelsea player next year
Essien is out between 4-6 weeks
team for tomorrow vs Preston

Hilario

Ferriera Alex JT Zhirkov

Belletti

Ballack, Lampard

Deco

Anelka Sturridge

My prediction Chelsea 3 Preston 0
 
He had a tear in the meniscus, atakuwa nje kwa wiki sita hivi. hakuna shida midfield yetu imesheheni vipaji tupu -

Birmignham vinganganizi - mbili zitawatosha -

Mbona huleti habari za Cole au tumuulize kikojozi?
 
Sasa leo mnaweza kwenda nafasi ya tatu khe khe khe vipi mnahitaji kwenda kwa mnajimu yahaya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom