Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mnapanga kikosi kizima utafikili mnakwenda vitani, wapeni chance na watoto kina Bolin wacheze.

wasi wasi and lack of confidence

...heri mseme nyie, kina ANELKA, JT, BALACK, MALOUDA, against PRESTON wapi na wapi bana? yaani wakikaa kwenye team zao za taifa kweli wanajigamba "siku ile tulocheza na Preston,...!" what a shame!
 
Bolini ni nani huyo?
Hujui hata kikosi chenu? Anaitwa Fabio Borini kuna kina Gael Kakuta,Nemanja Matic na wengineo
Chelsea
Squad​
shim.gif
shim.gif
1 Petr Cech

2 Branislav Ivanovic

3 Ashley Cole

5 Michael Essien

6 Ricardo Carvalho

8 Frank Lampard

10 Joe Cole

11 Didier Drogba

12 Mikel

13 Michael Ballack

15 Florent Malouda

17 Jose Bosingwa

18 Yury Zhirkov

19 Paulo Ferreira

20 Deco
21 Salomon Kalou

22 Ross Turnbull

23 Daniel Sturridge

24 Nemanja Matic

26 John Terry

33 Alex

35 Juliano Belletti

39 Nicolas Anelka

40 Henrique Hilario

41 Sam Hutchinson

43 Jeffery Bruma

44 Gael Kakuta

45 Fabio Borini

46 Jacopo Sala

50 Jan Sebek
 
...heri mseme nyie, kina ANELKA, JT, BALACK, MALOUDA, against PRESTON wapi na wapi bana? yaani wakikaa kwenye team zao za taifa kweli wanajigamba "siku ile tulocheza na Preston,...!" what a shame!
Kwanini wasijifunze hata kwa Arsenal kila mechi ina wachezaji wake wa kiwango chake, am sure Wenger hapa angeweka kikosi B
 
Watu wengine bwana!...arghhh!!!...Kisha tungefungwa si mngeleta maneno
tu? Yaani vyovyote vile Chelsea itakavyofanya mtakuja na vijineno tu.
Tuwafanzeni sasa?
 
_47170485_malouda_ap466.jpg

Chelsick sasa wameporomoka na kushika nafasi ya tatu.
 
Kwanini wasijifunze hata kwa Arsenal kila mechi ina wachezaji wake wa kiwango chake, am sure Wenger hapa angeweka kikosi B

Yeah man...but at the end of the season, NOTHING!

Endeleeni hivyo hivyo!
 
Mnapanga kikosi kizima utafikili mnakwenda vitani, wapeni chance na watoto kina Bolin wacheze.

wasi wasi and lack of confidence

...heri mseme nyie, kina ANELKA, JT, BALACK, MALOUDA, against PRESTON wapi na wapi bana? yaani wakikaa kwenye team zao za taifa kweli wanajigamba "siku ile tulocheza na Preston,...!" what a shame!

Kwanini wasijifunze hata kwa Arsenal kila mechi ina wachezaji wake wa kiwango chake, am sure Wenger hapa angeweka kikosi B
That's why you're trophyless for 5 years! Sorry mates, we can't copy the failed system of Mr. Wenger!
 
Watu wengine bwana!...arghhh!!!...Kisha tungefungwa si mngeleta maneno
tu? Yaani vyovyote vile Chelsea itakavyofanya mtakuja na vijineno tu.
Tuwafanzeni sasa?

...ahh haa haaahaa...heri wewe umesema ukweli!

You know nothing, Chelsea hakuna mchezaji anaitwa Bolin, kuna Borini,....Fabio Borini

...msg delivered ndio maana nawewe ume recall mnaye mchezaji 'Bored' 😀

Chelsick sasa wameporomoka na kushika nafasi ya tatu.

...nami 'nasikitika' kweli bana 😀😀😀..., kila mwaka wao kuporomoka tu. angekuwapo Mourinho kidoogo hadithi ingekuwa nyingine...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom