Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Malengo ya Kocha na mashabiki ni kumaliza top 4 kwa mwaka huu,hope tutafanikisha @ Mentor

Hizo story hazina mashiko. tunachofahama sisi mlikua ktk mbio za kuwania ubingwa...na tuliweza kuwasoma nia yenu kutokana na kila mchezo mliokua mnacheza....

Komaeni sn vinginevo mkiteleza city anakaa juu yenu.
 
Nimeamin rushwa mbaya xana lkn sometime nzuri kwa upande mwingine,na mara nyingi aliezoea kutoa rushwa n vigumu kuacha kwa sababu anijua faida yake, ningependa kuchukua frusa hii kuwaasa vijana wenzangu tuiogope rushwa kama ukoma,tukiiendekeza rushwa hatutafika mbali,xawa wewe utaona unafaidika lkn wenzako wengi utawaumizao, usiharakishe kumeza subiri utanielewa tu,hakuna dhambi mbaya jama Rushwa aka Mrungula wengine hubadiri jina ili waiharalishe na kuiita "TAKIRIMA"Vijana wenzangu nimelazimika kulisema hili baada ya vitendo vya rushwa kuzidi kushamiri nchini na hata kimataifa na wengine juweza kuvuka hadi anga wakisambaza rushwa. Kwa mfano kuna kilabu moja yenyewe imeshaona hili suala ni sehemu yake ya maisha haisiti kufanya hivyo pindi ikiona mambo ni magumu kwake hawa ni Chelsea cku hizi ni kawaida yao ktoa rushwa kwa malaika Israel mtoa roho ili awapendelee inauma xana lkn IPO cku mtoa roho atakchokeni madhara yake mtayaona,mtatoa hongo ataipokea na bado atawashikisha adabu.

Kheee. ..........

Umetumwa na Shetani?

Kama ni rushwa kwy game ya jana basi walau ungesema MANU ndio walitoa rushwa. Da Gea kacheza mpira nje ya 18 refa kapeta. Kapewa back pass akadaka kwa mikono refa kapeta. Achilia mbali fauls nyingi against Chelsea alizopotezea.

Kajipange.
 
Karudia kuangia tena km ile no back pass iliyokusudiwa
 
Karudia kuangia tena km ile no back pass iliyokusudiwa

Ahaaaa. . . . .

Kumbe unafaham kuna kuto kukusudia sio? Jiulize sasa kwanini Drogba alipewa yellow kwa ile faul kama sio kumpunguzia speed wakati falacow anageuza uringo wa EFC dhidi ya Terry na aliachwa tu.

Jipange!
 
Hizo story hazina mashiko. tunachofahama sisi mlikua ktk mbio za kuwania ubingwa...na tuliweza kuwasoma nia yenu kutokana na kila mchezo mliokua mnacheza....

Komaeni sn vinginevo mkiteleza city anakaa juu yenu.
Hizo mbio za ubingwa zimekuja baada ya recent form na matokeo tuliyokuwa tunayapata. Lakini main target msimu huu ni kumaliza ndani ya top four
 
Hizo mbio za ubingwa zimekuja baada ya recent form na matokeo tuliyokuwa tunayapata. Lakini main target msimu huu ni kumaliza ndani ya top four

Ubingwa ndio ilikua main target msimu huu kwenu ndio maana mlitumia pesa mingi mingi kununua wachezaji. Lkn hiyo ya kusema kumaliza ndani ya top four ilikua ndio main target yenu kwetu sisi tunaona mlikua mnarusha mind game tu.....

Hebu nikuulize swali la kizushi tu....hivi ingetokea Chelsea ikateleza alafu nyie ndio mkawa mnaongoza ligi mngeiachia hiyo nafasi eti kwa kusema your main target was to finish in top four teams? Mnafurahisha sn nyie......
 
Kuifunga Man U msije mkajidanganya kuwa mtawafunga Majogoo wakija hapo kwenu!Nakuhakikishia Majogoo tutaondoka na points zote tatu Drajani!!

Najua hata nyie sasa mnayaogopa Majogoo

ha ha ha haaa siku hiyo na majogoo nadhani watakuwa washakabidhiwa kombe lao so nadhani utapangiw team b wakina nathan ake,nditi....captain wao atakuwa obi mikel.
 
ha ha ha haaa siku hiyo na majogoo nadhani watakuwa washakabidhiwa kombe lao so nadhani utapangiw team b wakina nathan ake,nditi....captain wao atakuwa obi mikel.

Yaan mkuu siku hiyo full watoto, mbele anasimama mtoto wa miaka 16, Solanke.
 
mmmmh alikuwa anachonga wiki.mmoja kabla baada ya kuzifunga timu mbovu,naona leo kawa mdogo kama piliton.

Hahahaha guti bana usinielewe kiiivyo humu ni kuburudishana tu....nisingechonga humu kungepoa sana huon mlivyokuwa mnafunguka hadi raha humu kukanoga kwel,yangu ilikuwa ni mind game toka mwanzo nilijua kwa staili mnayocheza siyo rahis sis kushinda zaidi ingekuwa droo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom