everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Chelsea 3-Man u 1
Man United 1-0 Newcastle
Man United 2-1 Liverpool
Man United 3-1 Aston Villa
Man United 4-2 Man City
Man United 5-? Chelsea
Chelsea 3-Man u 1
Man United 1-0 Newcastle
Man United 2-1 Liverpool
Man United 3-1 Aston Villa
Man United 4-2 Man City
Man United 5-? Chelsea
Yaani kuna page kama 5 hivi ni mbwembwe, tambo na majigambo, teh teh teh kweli hii ni EPL
Man United 1-0 Newcastle
Man United 2-1 Liverpool
Man United 3-1 Aston Villa
Man United 4-2 Man City
Man United 5-? Chelsea
hahahaha!!! Huku tunaanziaga kucheza midomoni kisha tunamalizia kwenye uwanja...
Vipi leo naona uko na Lazio umejiandaaje??
Nye hamwez kutufunga,naona kama mda haufiki mzizi wa fitna uishe
Mission impossible 6: Manchester 5
itakuwa draw au wananyolewahahahaha!!! Huku tunaanziaga kucheza midomoni kisha tunamalizia kwenye uwanja...
Vipi leo naona uko na Lazio umejiandaaje??
na sisi tunao,naona bwembwe mmeanzia kwenye page yenu kule fb yaani mnatutishia sana,aisee mnajiamini,ila baadaye naomba tusipeane sababu kwamba ilikuwa hivi mara vile,kipigo ni kipigo na ushindi ni ushindi hata umejifungaKwanini tusiwafunge? Uwezo huo tunao sana........
na sisi tunao,naona bwembwe mmeanzia kwenye page yenu kule fb yaani mnatutishia sana,aisee mnajiamini,ila baadaye naomba tusipeane sababu kwamba ilikuwa hivi mara vile,kipigo ni kipigo na ushindi ni ushindi hata umejifunga
Asanteeeeeee nyie mlianza sisi tunamalizaaaa
Hahhaha tutangulie kufunga mbona huku hakutakalika mtahama
Na tukianza kufunga wasidhani yatatokea Yale ya Van Persie, yaan tukianza ndo moja kwa moja tunahesabu hiyo
Hahahaha!!! Watu weweeeeeeee hatimaye umekubali unaweza kutuhujumu!!! Mshindwe na mlegeee yaani msithubutuuuu......
Hahhaha tutangulie kufunga mbona huku hakutakalika mtahama
Na tukianza kufunga wasidhani yatatokea Yale ya Van Persie, yaan tukianza ndo moja kwa moja tunahesabu hiyo
Hahahaha!!! Wanasema akuaanzaye.....waulizeni City wanaelewa... Halafu sisi biashara zetu ni asubuh asubuhi jion tunafunga mahesabu hatuna kungoja dakika ya 88, sisi ni ATTACK ATTACK ATTACK WIN WIN WIN......