Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yaani hawa kama tungekuwa makini kumaliza tungewapiga hata bao 10....tumekosa mabao ya wazi, hasa Joe Cole!
 
_47124241_malouda_getty.jpg


Malouda anataka magoli 7
The guy was right...

Thanks Wacha, karibu Teachers mkuu!
 
Simply wakuu andikeni hivi:

Wacha1 njoo ujionee mauaji!

Hahahahaha

Invisible ulijaa tele kama pishi la udaga wakati wa mechi ya awali ya Loserfools lakini wakati timu yako ya mafia inaanza kucheza ulitokomea totoli huku ukiwa na maumivu ya kichwa chacha magoli ingia unakuja kono mbele. Wacha hizo kaa hapa hap tugange yanayojiri. Mie niko Live hapa naona mambo yanavyoendelea kutoka angle zote wala usiwe shaka.

Fweza leo zilimwagwa kwa sababu mlikuwa hamna uhakika rudia post yangu wakati nko 2 up. Next time usikimbie maana vidonge ninavyowapa naona vinafanya kazi.



Raha sana kuwa shabiki wa Chelsea, raha yani...! 🙂

Hii si ile timu mliifunga nyumbani kwao tarehe 18 au umesahau? Usililie tena kupewa kombe mwezi November.


Wacha nivute Teachers hapa nianze ku-enjoy. Sitaki kuamini wataturudishia idadi hii ya magoli

Hiyo teachers ni yenyewe au ni ile ya ku-foji kutoka India au Pakistan? Angalia label vizuri maana siku hizi unaweza kuwa na makengeza. Niambie tu nitakuletea original. Khe khe khe lhe do not be invisible again.

Kwa hiyo leo ndio tumemaliza matanga rasmi siyo yale ya kubabaisha babaisha. khe khe khe mwambie Kigogo anayejidai yuko Angola ampe salam Peasant na kumuamrisha aende shambani si umesikia mvua zinanyesha. aache gambling ya £ 20 ishirini.
 
Tatizo la Chelsick si unaona wanasheherekea kufunga magoli saba tu wakati kuna timu wamefunga magoli tisa musimu huu. Mtoto huanza kutambaa sio kukimbia. Khe khe khe khe


CHELSEANEW_967707a.jpg
 
Wakuu wa darajani,

Leo tumetembeza kipigo cha mbwa kuingia msikitini.

Ze Bluzz for life!!!

nicolas-anelka_1560397i.jpg




frank-lampard-ap_1560424i.jpg




michael-ballack-re_1560453i.jpg



frank-lampard_1560457i.jpg

 
Tatizo la Chelsick si unaona wanasheherekea kufunga magoli saba tu wakati kuna timu wamefunga magoli tisa musimu huu. Mtoto huanza kutambaa sio kukimbia. Khe khe khe khe


CHELSEANEW_967707a.jpg

Heri yetu sie 2lioshinda saba na bado 2naongoza ligi na mchezo mmoja mkononi; hao walioshinda 9 hivi sasa wako wapi???? 😕
 
Jitokezeni mafioso wote sio kila siku mnajificha, tunahitaji tuwafahamu sio mkifunga tu ndio mnarukia gari kama wehu vile.
 
Jitokezeni mafioso wote sio kila siku mnajificha, tunahitaji tuwafahamu sio mkifunga tu ndio mnarukia gari kama wehu vile.

Mkuu,

usidhani tumejificha bro, tunaacha mahasidi mpige kelele tu
mpaka pumzi ziwasihie. we deyah stiill!!!

Regards.
 
Mkuu,

usidhani tumejificha bro, tunaacha mahasidi mpige kelele tu
mpaka pumzi ziwasihie. we deyah stiill!!!

Regards.

Khe khe khe khe ... ... Jana ilkuwa fujo hapa kama vile nongwa na Teachers tulikaribishwa lakini leo haaa mmekuwa Invisible msikonde pamoja na pensioneers wenu sisi tupo kama kawa. Si unakumbuka mlitaka mkabidhiwe kombe November?Huwa mnaonekana wapinzani wenu wakifungwa na ukelele mwingi lakini leo si umejionea mwenyewe tena nikawakaribisha maana nilikuwa naiamini timu yangu, hatuchezi soka la kubahatisha soka linalofundishwa. Vile unaona leo kama kuku alinyeshewa na mvua. Wape salam Chelsick aka mafioso wote kwa mpigo waambie watengeneze kiwanja sio wanja kama tulilocheza leo.


http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/teams/a/arsenal/8464612.stm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom