Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahaha!!! Haki ya mama una vituko wewe!!!! hao malaika na makerubi wako pale katika mlingoti wa magoli tutakayofunga kipind cha kwanza yameingia 2 kipind cha pili yameingia 2 pia, ohhh!!! Haleluya naona utukufu kila mahali........

Yaan nyuma ya goal moja wapo kuna wale wanazi wa Chelsea wanaoshika bendera kubwa ya blue iliyoandikwa "the pride of London" sasa Courtios akiwa goal la upande huo kumfunga ni shida sana.
 
I know you are very shy.. Instead of saying your ready for something that's to loose... You're trying to hide it by saying you're ready for anything...

Hahahahah... Your welcome mom..

Hahahaha!! Nilijua hiyo kauli itawafanya muongee na nimeiweka makusud, unajua wiki yote hii tumepiga story humu sana kuna wakati mlikuwa hata hamnielewi mkijiuliza kiburi na jeuri natoa wapi, wengine mkaniona Nina imani ya kung'oa milima etc lakini in reality kwenye michezo kuna mambo 3 na mwanamichezo yoyote lazima awe tayari kwa lolote ingawaje hakuna anayeplan kufeli.
 
Ntuzu my dear karibu Niko na wanangu hapa tunalisongesha nawapa dawa taratibu kama yule docta mrembo wenu.....
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha!! Nilijua hiyo kauli itawafanya muongee na nimeiweka makusud, unajua wiki yote hii tumepiga story humu sana kuna wakati mlikuwa hata hamnielewi mkijiuliza kiburi na jeuri natoa wapi, wengine mkaniona Nina imani ya kung'oa milima etc lakini in reality kwenye michezo kuna mambo 3 na mwanamichezo yoyote lazima awe tayari kwa lolote ingawaje hakuna anayeplan kufeli.

Amekubaliiiiiiiiiiiiii😀😀😀 ndo maana usipokuja hapa naku-miss na nakufata kule kwenu😛
 
Mgeni huyo....
 
Attachments

  • 1429332705171.jpg
    1429332705171.jpg
    50.9 KB · Views: 104
Ata km mseme refa alikubali goli ambalo sio halali fahamu kwamba tangu msimu uliopita mpk Leo hakuna timu kubwa ktk hizi zimeifunga Chelsea Zaidi ya vinyangamkela....Na kesho naanza kz yangu ya kupiga vigogo wote....tia Maji kichwani ujiandae.

Jambia lina kuhu...........

Aione everlenk Mentor RRONDO Manumbu BAK Belo
 
Last edited by a moderator:
Majeruhi yananipa wasiwasi.

Kiongozi usiwe Na hofu...mtafanya vzr tu....Tena tulia kabisa Mkuu...

Timu yenu ingekua chini ya David Moyes hapo ningekubali kua ni vema ukawa Na wasiwasi....lkn chini ya LvG timu iko sawa kila kitu ata km mna majeruhi....

Ninaona uwezekano mkubwa Wa ManU kumaliza ligi ikiwa nafasi ya pili juu ya Arsenal....
 
Nimeshakubali kufungwa Na ManU leo lkn hainiondolei nafasi ya kuchukua kombe.........

kwa nini mkuu unasema hivyo ?? inaonekana umeshakata tamaa mapema . labda man wapate draw vinginevyo the blues ushindi tu. nina imani sana na kocha wangu kuliko hata wachezaji hasa inapofikia kucheza na big timu. mou kwenye hizi big match hata kama anafungwa basi kwa bahati mbaya tu si ufundi
 
Mkuu hapo nakubaliana na wewe asilimia zote, Mourinho ndo tactics genius
 
kwa nini mkuu unasema hivyo ?? inaonekana umeshakata tamaa mapema . labda man wapate draw vinginevyo the blues ushindi tu. nina imani sana kocha wangu kuliko hata wachezaji hasa inapofikia kucheza na big timu

Mkuu tumekua tunarushiana tambo sn karibu kila siku kwahiyo baadhi ya vitu sio kuweka ligi...unawakubalia tu uone watasemaje...maana lengo letu kuu ni kua bingwa Na sio kumfunga Man U au Gunners au LFC kitu ambacho ni tofauti kimtazamo Na hizi timu zingine......wanaona kuifunga Chelsea ni fahari kwao.

Game yetu Na QPR ilikua muhimu sn na imekamilisha mahesabu ya kutwaa ndoo.

Hii michezo mikubwa ni kulinda heshima ya timu tu lkn ndoo hiyo lazima itue darajani...

Leo hatupotezi Mkuu. Na tunakwenda kuonyesha ulimwengu kua sisi ni timu bora sn...pamoja Na kua timu yetu ndio inaongoza kwa kushambuliwa ktk mitandao na blogs hata hapa Jf pia kwasababu hawapendi kutuona tunaongoza ligi tangu mwanzo Wa msimu mpk Leo....lkn ukweli utaonekana uwanjani Leo kwamba sisi ni bora....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom