Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Usiwaze kabisa am here for you......relax.......

Ila tuache masihara kesho ikitokea mmeshinda japo haitatokea wewe na kunguru mjanja mtaninyanyasa sana.......

Hapana, sitakunyanyasa ntakuwa hapa kukutibu wewe na maumivu yako.....ndo maana nikasema vice versa is also true. Wala usijali mama everlenk
 
Last edited by a moderator:
Usiwaze kabisa mimi na wewe tujiandae mambo matatu ambayo ni kushinda, kushindwa na sare katika hayo lolote laweza tokea..... Relax kabisaaaa huo ndo mpira.....

Yes, Nakubali mpira ni Dk 93 siku hizi wala sio 90. Sasa humo matokeo yoyote ni uwezekano maana kwanza mpira wenyewe unadunda.... Am cool waiting for the result but am not preparing myself for the worse
 
Usiwaze kabisa am here for you......relax.......

Ila tuache masihara kesho ikitokea mmeshinda japo haitatokea wewe na kunguru mjanja mtaninyanyasa sana.......

Unakumbuka nilikusemea kwa daddy yako..!? Me nakupa tu adhabu kesho... Ila na ww usinuneeee my dear
 
Last edited by a moderator:
Dah!! Kesho ni siku ngumu sana kwangu unajua na Barca inacheza pia? Mie sinuni kwa sababu adhabu yako haitonipata.........

Mmmh pole sana... Ngoja tuone mama,, kwa barca nakuombea mema... Ila huku kwa LVG hatanikikuombea dua haitofika kokote.. Malaika na makerubi wataizuia njiani...
 
Mmmh pole sana... Ngoja tuone mama,, kwa barca nakuombea mema... Ila huku kwa LVG hatanikikuombea dua haitofika kokote.. Malaika na makerubi wataizuia njiani...

Hahahaha!!! Haki ya mama una vituko wewe!!!! hao malaika na makerubi wako pale katika mlingoti wa magoli tutakayofunga kipind cha kwanza yameingia 2 kipind cha pili yameingia 2 pia, ohhh!!! Haleluya naona utukufu kila mahali........
 
I know you are very shy.. Instead of saying your ready for something that's to loose... You're trying to hide it by saying you're ready for anything...

Hahahahah... Your welcome mom..

Hawezi kusema kirahisi hivyo mkuu acha kwanza ajipe moyo ili aweze kufika na kuimaliza siku ya kesho.....vingine kesho ataiona mbali sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom